Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Kama Rais wetu angekua makini hawa ni watu wa kuchinjia mbali. Huyu Mzee hafai kabisa na uchawi unamnyemelea. Mara zote hutukana wazanzibari na kutishia muungano wetu. Baba Mungu tujibie kwa hivi vichawi kama Burundi.
Huyu mzee ni mchawi hasa
.. Unakujua Namanyere Nkasi. Hatari kwelikweli
 
IMG-20200610-WA0045.jpg
 
wabongo ni watu walafi na wanafki mno Karl Marx anasema kila kauli na kitendo cha mwanadamu ndani yake kuna maslahi! wabunge wa kijani kazi kumsifia Mkulu kwenye majukwaa na kumpinga na kumdharau wakimwita mshamba wanapoongea kwenye cm, ( Kinana na Nape) kazi yao ni kumpaka Mkulu mafuta kwa mgongo wa chupa kumbe wanatetea tu matumbo yao! wabunge wamejisahau na kudhani nchi ni yao na wanaweza kuwaamulia wananchi lolote, yangu mimi ni kijani siungi mkono daima kusalia madarakani kwa rais baada miaka kumi hata atujengee magorofa hewani! nchi inahitaji mtu mpya mwenye mawazo mapya kila siku!!

1. kukaa madarakani zaidi ni kupingana na Nyerere na utaratibu wa nchi miaka kumi ikiisha hatukuhitaji kukuabudu tena kafie mbele tuachie nchi yetu si urithi wa baba yako na kukaa zaidi kama Rais ni kuvunja katiba na kuzaa utamaduni mpya wa kidikteta hapa ataanza kukaa Magu ambae sote tunamkubali toka moyoni na kumsifu kwa nyimbo na mapambio , Magu atakaa miaka kumi tu ya kukurunzinza na atakaefuata atakaa hamsini hamtaweza kumtoa mwishowe atakuja atakaejiita Rais wa Maisha hamtakuwa na ubavu wa kumzuia atasema si mimi mlaumuni Magu , usidhani hawa wote kuanzia Magu watakaa madarakani zaidi kinyume na katiba kwa usalama bali vurugu inaweza kuibuka hata usiamini kama uko bongo hilo lilitokea Burundi mwaka 2015, vita yao haijaisha milele na milele Burundi ni kuviziana na kulipiziana kisasi tu kwanza ukiinyonga katiba na kujiongezea muda wa kusalia madarakani mwishoni unakufa ghafla reference ni Nkurunzinza!

2.Hapa ni hesabu tu yaani wabongo wengi akili haijai kijiko! kama Rais Mwinyi ambae pia tulimpenda angekaa miaka kumi zaidi na Mkapa ambae nae tulimpenda kumi zaidi na Mkwere alietufanya leo tuko nyumba zetu si za kupanga pesa kama yote tajiri wa roho yule nae kumi zaidi ina maana tungenunua Bombadia mwaka gani? na SGR ingekuja mwaka gani? yaani hesabu ndogo tu wabongo tunashindwa? ongeza miaka 30 mbele utapata Magu angeingia madarakani mwaka gani? na angekuwa na umri gani?na ungepata Stieglers in 2035! na Magu angeingia madarakani in 2035 akiwa Mzee!!!

3. hapa yaonekana watu wamechoka amani ya nchi hii sababu kuna sera isiyo wazi ya kupishana urais kati ya waislamu na wakristo na sasa ni zamu ya waislam

4. Mkulu anaweza kuwapo mzalendo mwingine kama Magu au kumzidi japo hajashika kijiti au hajazaliwa! nani alijua kama Magu ni kiboko cha wapinzani na wanaompinga na wavivu na wala rushwa na wanaokwamisha juhudi zake namna hii wakati akiwa nyapara wa barabara hatukudhani atosha urais kumbe ni kiboko sote tunalima kwa meno basi unaambiwa yupo ambae tutaamkia hata watoto wetu kama alivyofanya Makongoro wakati akigombea ubunge wa Africa mashariki! hiki ni chuma kweli ila vyuma vipo na vingine havijashika cheo huwezi kuvijua! nchi always ni kubwa kuliko mtu hata uvume vipi lazima upasuke nchi isonge!
 
Kama yeye ni kiongozi mzuri basi amtengeneze atakae weza kuvaa viatu vyake, kung'ang'ania madaraka ni moja ya ushamba wa hali ya juu kabisa duniani
 



"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Spika Ndugai ajibu hivi

“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai

Hii ni aram kubwa imekwisha amriwa. Sasa kilichobakia ni utekelezaji na utekelezaji wake upo so planned kwamba waanze kuingiza KWENYE akili za watu. Jana TBC ikimhoji speaker chini ya mkurugenzi walisema jambo ambalo nahisi ni strategy kubwa. Kinachonishangaza viongozi wapo kimya kabisa
Marais wastaafu
Mawaziri wakuu wastaafu
Na wenye hekima mbalimbali.

Tuweni makini.
 
Mkuu akili ako inakutosha wewe na familia yako tu. Yaan kuwa baba wa familia. Huwezi hata kuwa mwenyekiti maana huyu anaongoza kijiji. Vitu vidogo vidogo vinakuridhisha nakutaka katiba ivunjwe iwe kuongoza ni 15 years jaribu kufikiri kwa nn muda wa urais uliwekwa only 10 years. Kama hao waliopita wangeoza muda sidhanj hata magu kama leo hii angekuwa rais
Vitu vidogo vidogo hebu vitaje hapa ili tuone km kweli ni vidogo, zen acha kukariri ww muafrika, katiba ni nn mpk isibadilishwe, imeandikwa na nani Mungu au? Wazungu wamekuleteeni mdudu katiba ili msiendelee lkn blind Africans like u hamuelewi, nani kakuambia maendeleo ya kweli yanaweza kupatikana baada ya miaka mitano km katiba inavyosema, wao waliendelea baada ya kuwa na mfumo mmoja kwa miaka mingi ndo waka adapt huo mfumo wa demokrasia, angalia UK ni Kingship miaka nenda rudi, Amerika iliongozwa na mfumo mmoja mpk wakaendelea, China hivyo hivyo na ss wamempa Jinping haki ya kuongoza mpk pale watakapoona inatosha, hv unaelewa maana yake hapo? Chemsha akili hyo don't be brainwashed.
 
Anatoa elimu bure
Amenunua ndege
Amejenga barabara
Umeme kila kijiji
Zahanati kila kijiji
Ujenzi wa reli
Ujenzi wa fly over
Ujenzi wa bwawa la umeme kule rufiji
Mikopo kwa wanachuo
Amewapa wamachinga na mama lushe unafuu wa kufanya biashara

Mambo mengi sana
Mambo makubwa hayo yepi?
 
Vitu vidogo vidogo hebu vitaje hapa ili tuone km kweli ni vidogo, zen acha kukariri ww muafrika, katiba ni nn mpk isibadilishwe, imeandikwa na nani Mungu au? Wazungu wamekuleteeni mdudu katiba ili msiendelee lkn blind Africans like u hamuelewi, nani kakuambia maendeleo ya kweli yanaweza kupatikana baada ya miaka mitano km katiba inavyosema, wao waliendelea baada ya kuwa na mfumo mmoja kwa miaka mingi ndo waka adapt huo mfumo wa demokrasia, angalia UK ni Kingship miaka nenda rudi, Amerika iliongozwa na mfumo mmoja mpk wakaendelea, China hivyo hivyo na ss wamempa Jinping haki ya kuongoza mpk pale watakapoona inatosha, hv unaelewa maana yake hapo? Chemsha akili hyo don't be brainwashed.
Kweli wewe huelewi mambo hata kidogo. Hizo nchi unazozitaja tazama suala la dini limekaaje. Je dini kwao ni mseto kama huku bongo??
 
Back
Top Bottom