blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Hakuna MUISLAM atakubali upumbavu huo. Hili nshalisema.Wakristo ndiyo mnataka sisi waislam mtutawale maisha. Hilo haiwezekani never
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna MUISLAM atakubali upumbavu huo. Hili nshalisema.Wakristo ndiyo mnataka sisi waislam mtutawale maisha. Hilo haiwezekani never
Huyu mzee ni mchawi hasaKama Rais wetu angekua makini hawa ni watu wa kuchinjia mbali. Huyu Mzee hafai kabisa na uchawi unamnyemelea. Mara zote hutukana wazanzibari na kutishia muungano wetu. Baba Mungu tujibie kwa hivi vichawi kama Burundi.
Acha mambo ya udini wewe.Hivi Ally Kessy ni Mkristo??.Hakuna MUISLAM atakubali upumbavu huo. Hili nshalisema.
Yapi ?!Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Hii ni aram kubwa imekwisha amriwa. Sasa kilichobakia ni utekelezaji na utekelezaji wake upo so planned kwamba waanze kuingiza KWENYE akili za watu. Jana TBC ikimhoji speaker chini ya mkurugenzi walisema jambo ambalo nahisi ni strategy kubwa. Kinachonishangaza viongozi wapo kimya kabisa
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi
“Mheshimiwa Keissy ngoja twende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Kessy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Vitu vidogo vidogo hebu vitaje hapa ili tuone km kweli ni vidogo, zen acha kukariri ww muafrika, katiba ni nn mpk isibadilishwe, imeandikwa na nani Mungu au? Wazungu wamekuleteeni mdudu katiba ili msiendelee lkn blind Africans like u hamuelewi, nani kakuambia maendeleo ya kweli yanaweza kupatikana baada ya miaka mitano km katiba inavyosema, wao waliendelea baada ya kuwa na mfumo mmoja kwa miaka mingi ndo waka adapt huo mfumo wa demokrasia, angalia UK ni Kingship miaka nenda rudi, Amerika iliongozwa na mfumo mmoja mpk wakaendelea, China hivyo hivyo na ss wamempa Jinping haki ya kuongoza mpk pale watakapoona inatosha, hv unaelewa maana yake hapo? Chemsha akili hyo don't be brainwashed.Mkuu akili ako inakutosha wewe na familia yako tu. Yaan kuwa baba wa familia. Huwezi hata kuwa mwenyekiti maana huyu anaongoza kijiji. Vitu vidogo vidogo vinakuridhisha nakutaka katiba ivunjwe iwe kuongoza ni 15 years jaribu kufikiri kwa nn muda wa urais uliwekwa only 10 years. Kama hao waliopita wangeoza muda sidhanj hata magu kama leo hii angekuwa rais
Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Mambo makubwa hayo yepi?
Kweli wewe huelewi mambo hata kidogo. Hizo nchi unazozitaja tazama suala la dini limekaaje. Je dini kwao ni mseto kama huku bongo??Vitu vidogo vidogo hebu vitaje hapa ili tuone km kweli ni vidogo, zen acha kukariri ww muafrika, katiba ni nn mpk isibadilishwe, imeandikwa na nani Mungu au? Wazungu wamekuleteeni mdudu katiba ili msiendelee lkn blind Africans like u hamuelewi, nani kakuambia maendeleo ya kweli yanaweza kupatikana baada ya miaka mitano km katiba inavyosema, wao waliendelea baada ya kuwa na mfumo mmoja kwa miaka mingi ndo waka adapt huo mfumo wa demokrasia, angalia UK ni Kingship miaka nenda rudi, Amerika iliongozwa na mfumo mmoja mpk wakaendelea, China hivyo hivyo na ss wamempa Jinping haki ya kuongoza mpk pale watakapoona inatosha, hv unaelewa maana yake hapo? Chemsha akili hyo don't be brainwashed.
Lkn inawezekana hakuwa na mpango wa kukaa muda wote huo ila kuna wanafiki fulani na wachumia tumbo ndio walimshawishi.