Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Mimi naona tofauti kubwa huyu wa sasa hawezi kusaidiwa na busara za Nyerere kwasababu Nyerere alishauriwa asing'atuke na wa sasa nyuma ya pazia anawatuma wapambe washinikize huku yeye akijifanya kugoma
Kha!!,kwa hiyo hao wanashinikizwa kumpigia debe mkulu asing'atuke??.
 
Hebu tutajie hayo aliyoyafanya mwinyi zen tupambanishe na haya anayoyafanya Magu, taja japo moja tu cz najua hakutakuwa na mengi [emoji3][emoji3]
 
Katika upepo huyu ndio upepo haswaaa,hakuna kitu huko kichwani,kajaza mavi tu
 
Madikteta wote duniani hufanya hivyo kuhalalisha kuendelea kukakaa madarakani tena huwa wanapendwa kweli na wananchi. Hata Hittler au Idi Amini walisifiwa sana kwa kuleta maendeleo nchini mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…