Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Siyo Wananchi wote,huwa kunakuwa na watu wao wenye sauti ya ushawishi,hivyo wakiongea tu inaonekana watu wote wamewapenda kumbe siyo.Madikteta wote duniani hufanya hivyo kuhalalisha kuendelea kukakaa madarakani tena huwa wanapendwa kweli na wananchi. Hata Hittler au Idi Amini walisifiwa sana kwa kuleta maendeleo nchini mwao
Naam. Kuna wanaoshindana kusikika zaidi kwa mkuluSiyo Wananchi wote,huwa kunakuwa na watu wao wenye sauti ya ushawishi,hivyo wakiongea tu inaonekana watu wote wamewapenda kumbe siyo.
It was a smart moveCCM bhana kwa hiyo wakaamua kumtoa huyu mwamba kafara... na shobo zote zile
Wenzio wana mikakati.Mzee kessy baibai
Sawa mkuuWenzio wana mikakati.
Kessy katoswa baharini lakini wote wako pamoja ni kiini macho tu.
Wait and see utaona hoja ya Kessy inarejea bungeni kwa strategy tofauti na sasa wote wataunga mkono hoja wote ni wamoja hakuna mpinzani wa kuwapinga.