Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Msimamo wa Rais Magufuli katika hili uko wazi kabisa.

Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Urais ni kazi ngumuuu ndugu zangu, ningejua nisingegombea kabisa. Natamani urais ungekuwa miaka 2 tu ili niondoke.

Yaani nilikuwa najaribu tu Nikasukumizwa.

Wakati akisema hayo: Anatumia nguvu kuubwa ya majeshi kumdhibiti kila anayeonesha dalili za kuisogelea hiyo nafasi.

Kamtimua Membe Kwasababu ya kuitaka hiyo kazi ngumu, katumia Jeshi, polisi na Usalama kupora uchaguzi.

#UnafikiUkoKwenyeDNA
 
Magufuli keshasema tena zaidi ya mara moja hawezi kuongezea muda, sasa kwanini watu tunajibu kelele za wengine wakati muhusika mkuu alishatoa jibu lake?

Hebu tuache kujipa pressure bure, tujilinde na Corona inatosha.
 
Wewe unadhani urais ni kazi nyepesi?
 
Waliapa kuilinda katiba hii
Sasa wanasema lazima mambo yaende wanavyotaka wao hata kama ni kinyume na katiba walio apa kuilinda?
Ngoja nami nijaribu kivyangu, maanake waTanzania na akili zetu tumekuwa watu wa ndimi thelathini.

Hivi enzi hizi bado kuna mtu anayeamini katiba inafanya kazi, inafuatwa?

Je, haiwezi kutungwa 'katiba' inayosema wazi kwamba "Magufuli haruhusiwi kutoka madarakani" na hiyo ndiyo ikawa katiba tunayoiimba sote?

Kuna kitu gani chenye uwezo wa kuzuia jambo kama hilo lisiwezekane kufanyika sasa hivi?

Baadhi yetu hupenda kujipa matumaini hata katika mambo yasiyoonyesha matumaini kabisa!
 
Magufuli keshasema tena zaidi ya mara moja hawezi kuongezea muda, sasa kwanini watu tunajibu kelele za wengine wakati muhusika mkuu alishatoa jibu lake?

Hebu tuache kujipa pressure bure, tujilinde na Corona inatosha.
Unaeleweka vizuri sana. Unatamani hiyo ndiyo iwe kweli. Kumbuka, hayo ni "matamanio" tu, sio kuwa ndio utakuwa uhalisi wa mambo.
 
Aongeze misharaha kwa kishindo uone atakavyoungwa mkono na makundi yote
Yaani angekuwa kama Gadaff vile, basi angepingwa na Wanasiasa wenzake tu. Ila kwa bahati mbaya wanufaikaji wa utawala wake ni watu wachache tu walio mzunguka.

The rest, ni kilio tu na kusaga meno. Thats why tutaendelea kumsihi! Aiheshimu kauli yake aliyoitoa mara kadhaa mbele ya hadhara ya kwamba hatarajii kuendelea kutawala baada tu ya mhula wake wa pili kumalizika hiyo 2025.

Akifanya tofauti na matamshi yake, basi ajiandae kutawala kwa shida sana maana upinzani nje na ndani ya chama chake utaongezeka mara dufu. Na ili auzime huo upinzani, atajikuta ameshakua PK, Mu7 au Saddam Hussein.
 
Ngoja nami nijaribu kivyangu, maanake waTanzania na akili zetu tumekuwa watu wa ndimi thelathini.

Hivi enzi hizi bado kuna mtu anayeamini katiba inafanya kazi, inafuatwa?

Je, haiwezi kutungwa 'katiba' inayosema wazi kwamba "Magufuli haruhusiwi kutoka madarakani" na hiyo ndiyo ikawa katiba tunayoiimba sote?

Kuna kitu gani chenye uwezo wa kuzuia jambo kama hilo lisiwezekane kufanyika sasa hivi?

Baadhi yetu hupenda kujipa matumaini hata katika mambo yasiyoonyesha matumaini kabisa!
Ndio sababu magonjwa ya moyo yanaongezeka miaka ya karibuni hata kwa vijana wenye umri mdogo, watu mnapenda sana kujipa pressure, rilaxx... kwa sasa tupambane na Corona iliyopo, huyo Magufuli kama anatudanganya wakati wake unakuja tutapambana nae, kwasasa tuishi kwa kuamini maneno yake vinginevyo hata yeye anaweza akawa anatuona vichaa kwa kupigia kelele jambo ambalo hata yeye hana mpango nalo, kelele za wapambe wake zisituchanganye zipuuzwe.
 
Msimamo wa Rais Magufuli katika hili uko wazi kabisa.

Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Katika "mataga" wote wa humu JF, johnthebaptist ndio unaonekana kuwa Lumumba walichomoa sehemu ya ubongo wako na wakakuachia sehemu.
Tatizo lako kuu ni kupewa "misheni" ya kumtongoza kiongozi mmoja mkubwa wa CDM halafu ukafanikiwa,akakuchabanga nao na ukakolea,kisha yeye akajitoa kiulainii.
 
Ndio sababu magonjwa ya moyo yanaongezeka miaka ya karibuni hata kwa vijana wenye umri mdogo, watu mnapenda sana kujipa pressure, rilaxx... kwa sasa tupambane na Corona iliyopo, huyo Magufuli kama anatudanganya wakati wake unakuja tutapambana nae, kwasasa tuishi kwa kuamini maneno yake vinginevyo hata yeye anaweza akawa anatuona vichaa kwa kupigia kelele jambo ambalo hata yeye hana mpango nalo, kelele za wapambe wake zisituchanganye zipuuzwe.
Eeenh Heee!
Mkuu denooJ, bhwanah. Mara hii tumekwishasahau "uchafuzi mkuu" na jinsi tulivyokuwa tunajiapisha?

Basi sawa mkuu!
 
Raisi kesharudia zaidi ya mara tano bagonza anzisha kampeni ya kuvaa barakoa hayo mengine yaache tu!
Kuvaa barakoa kama urembo au!!!
Cheameni wako amesema hakuna Covid 19 bali ni Covid 21,na haijali barakoa wala nini,wewe ni nani wa kumtaka moja ya watumishi wa MUNGU wachache waliopo Tanzania kuhimiza uvaaji barakoa huku ukijua dhahiri kuwa yeye ni championi wa kampeni za kujilinda dhidi ya Covid!!?!!
 
Eeenh Heee!
Mkuu denooJ, bhwanah. Mara hii tumekwishasahau "uchafuzi mkuu" na jinsi tulivyokuwa tunajiapisha?

Basi sawa mkuu!
Gud, suala la uchaguzi tulisubiri ryt time na atleast tulionesha nia ndio maana wakaja mbio kututisha, sasa kama la uchaguzi tulisubiri mpaka lilipotokea na wengine tukazimwa baadae, basi na hili la kujiongezea muda tuusubiri muda wake ufike, now nikujipasua vichwa tu, nawahurumia mnajitesa kuna wakati unafika nikiwasoma mnahisi kama ameshajiongezea muda, kumbe wapi!.
 
Ukweli, anayeteseka na kupata madhara zaidi hapa ni huyo anayesubiri na kujipa matumaini hafifu kuliko huyu ambaye alishahitimisha, kutokana na uzoefu wa yaliyokwishafanyika na kumjua mhusika alivyo na tabia za uongo uongo. Asiyeaminika.
 
Magufuli keshasema tena zaidi ya mara moja hawezi kuongezea muda, sasa kwanini watu tunajibu kelele za wengine wakati muhusika mkuu alishatoa jibu lake?

Hebu tuache kujipa pressure bure, tujilinde na Corona inatosha.
Kagame na Museven walisema hawataongeza muda. Any way time will tell
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ukweli, anayeteseka na kupata madhara zaidi hapa ni huyo anayesubiri na kujipa matumaini hafifu kuliko huyu ambaye alishahitimisha, kutokana na uzoefu wa yaliyokwishafanyika na kumjua mhusika alivyo na tabia za uongo uongo. Asiyeaminika.
Angalia usije kuwa unapigana vita ambayo haipo, kwasasa vaa barakoa, wavalishe na watoto, na mama yao.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom