darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Ngoja nijifukize walau nishuhudie hili igizo la jiwe litafika wapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urais ni kazi ngumuuu ndugu zangu, ningejua nisingegombea kabisa. Natamani urais ungekuwa miaka 2 tu ili niondoke.Msimamo wa Rais Magufuli katika hili uko wazi kabisa.
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Wewe unadhani urais ni kazi nyepesi?Urais ni kazi ngumuuu ndugu zangu, ningejua nisingegombea kabisa. Natamani urais ungekuwa miaka 2 tu ili niondoke.
Yaani nilikuwa najaribu tu Nikasukumizwa.
Wakati akisema hayo: Anatumia nguvu kuubwa ya majeshi kumdhibiti kila anayeonesha dalili za kuisogelea hiyo nafasi.
Kamtimua Membe Kwasababu ya kuitaka hiyo kazi ngumu, katumia Jeshi, polisi na Usalama kupora uchaguzi.
#UnafikiUkoKwenyeDNA
Ngoja nami nijaribu kivyangu, maanake waTanzania na akili zetu tumekuwa watu wa ndimi thelathini.Waliapa kuilinda katiba hii
Sasa wanasema lazima mambo yaende wanavyotaka wao hata kama ni kinyume na katiba walio apa kuilinda?
Unaeleweka vizuri sana. Unatamani hiyo ndiyo iwe kweli. Kumbuka, hayo ni "matamanio" tu, sio kuwa ndio utakuwa uhalisi wa mambo.Magufuli keshasema tena zaidi ya mara moja hawezi kuongezea muda, sasa kwanini watu tunajibu kelele za wengine wakati muhusika mkuu alishatoa jibu lake?
Hebu tuache kujipa pressure bure, tujilinde na Corona inatosha.
Yaani angekuwa kama Gadaff vile, basi angepingwa na Wanasiasa wenzake tu. Ila kwa bahati mbaya wanufaikaji wa utawala wake ni watu wachache tu walio mzunguka.Aongeze misharaha kwa kishindo uone atakavyoungwa mkono na makundi yote
Ndio sababu magonjwa ya moyo yanaongezeka miaka ya karibuni hata kwa vijana wenye umri mdogo, watu mnapenda sana kujipa pressure, rilaxx... kwa sasa tupambane na Corona iliyopo, huyo Magufuli kama anatudanganya wakati wake unakuja tutapambana nae, kwasasa tuishi kwa kuamini maneno yake vinginevyo hata yeye anaweza akawa anatuona vichaa kwa kupigia kelele jambo ambalo hata yeye hana mpango nalo, kelele za wapambe wake zisituchanganye zipuuzwe.Ngoja nami nijaribu kivyangu, maanake waTanzania na akili zetu tumekuwa watu wa ndimi thelathini.
Hivi enzi hizi bado kuna mtu anayeamini katiba inafanya kazi, inafuatwa?
Je, haiwezi kutungwa 'katiba' inayosema wazi kwamba "Magufuli haruhusiwi kutoka madarakani" na hiyo ndiyo ikawa katiba tunayoiimba sote?
Kuna kitu gani chenye uwezo wa kuzuia jambo kama hilo lisiwezekane kufanyika sasa hivi?
Baadhi yetu hupenda kujipa matumaini hata katika mambo yasiyoonyesha matumaini kabisa!
Katika "mataga" wote wa humu JF, johnthebaptist ndio unaonekana kuwa Lumumba walichomoa sehemu ya ubongo wako na wakakuachia sehemu.Msimamo wa Rais Magufuli katika hili uko wazi kabisa.
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Eeenh Heee!Ndio sababu magonjwa ya moyo yanaongezeka miaka ya karibuni hata kwa vijana wenye umri mdogo, watu mnapenda sana kujipa pressure, rilaxx... kwa sasa tupambane na Corona iliyopo, huyo Magufuli kama anatudanganya wakati wake unakuja tutapambana nae, kwasasa tuishi kwa kuamini maneno yake vinginevyo hata yeye anaweza akawa anatuona vichaa kwa kupigia kelele jambo ambalo hata yeye hana mpango nalo, kelele za wapambe wake zisituchanganye zipuuzwe.
Kuvaa barakoa kama urembo au!!!Raisi kesharudia zaidi ya mara tano bagonza anzisha kampeni ya kuvaa barakoa hayo mengine yaache tu!
Gud, suala la uchaguzi tulisubiri ryt time na atleast tulionesha nia ndio maana wakaja mbio kututisha, sasa kama la uchaguzi tulisubiri mpaka lilipotokea na wengine tukazimwa baadae, basi na hili la kujiongezea muda tuusubiri muda wake ufike, now nikujipasua vichwa tu, nawahurumia mnajitesa kuna wakati unafika nikiwasoma mnahisi kama ameshajiongezea muda, kumbe wapi!.Eeenh Heee!
Mkuu denooJ, bhwanah. Mara hii tumekwishasahau "uchafuzi mkuu" na jinsi tulivyokuwa tunajiapisha?
Basi sawa mkuu!
Ukweli, anayeteseka na kupata madhara zaidi hapa ni huyo anayesubiri na kujipa matumaini hafifu kuliko huyu ambaye alishahitimisha, kutokana na uzoefu wa yaliyokwishafanyika na kumjua mhusika alivyo na tabia za uongo uongo. Asiyeaminika.Gud, suala la uchaguzi tulisubiri ryt time na atleast tulionesha nia ndio maana wakaja mbio kututisha, sasa kama la uchaguzi tulisubiri mpaka lilipotokea na wengine tukazimwa baadae, basi na hili la kujiongezea muda tuusubiri muda wake ufike, now nikujipasua vichwa tu, nawahurumia mnajitesa kuna wakati unafika nikiwasoma mnahisi kama ameshajiongezea muda, kumbe wapi!.
Wapiga zumari aliowaokota majalalani huko, na kuwakusanya Dodoma.Wapiga Zumari wa MAGU na ATAKE ASITAKE ni Wapuuzi sana na JIWE wao.......
Atake asitakeMsimamo wa Rais Magufuli katika hili uko wazi kabisa.
Bavicha chapeni kazi majungu siyo mtaji!
Kagame na Museven walisema hawataongeza muda. Any way time will tellMagufuli keshasema tena zaidi ya mara moja hawezi kuongezea muda, sasa kwanini watu tunajibu kelele za wengine wakati muhusika mkuu alishatoa jibu lake?
Hebu tuache kujipa pressure bure, tujilinde na Corona inatosha.
Angalia usije kuwa unapigana vita ambayo haipo, kwasasa vaa barakoa, wavalishe na watoto, na mama yao.Ukweli, anayeteseka na kupata madhara zaidi hapa ni huyo anayesubiri na kujipa matumaini hafifu kuliko huyu ambaye alishahitimisha, kutokana na uzoefu wa yaliyokwishafanyika na kumjua mhusika alivyo na tabia za uongo uongo. Asiyeaminika.