Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Angalia usije kuwa unapigana vita ambayo haipo, kwasasa vaa barakoa, wavalishe na watoto, na mama yao.
Eeenh.
Wewe ni jasiri sana. Unapingana na serikali inayosema hakuna corona?
Lakini hapa hapa kwenye swala hilo la corona; inakuwaje ujitese kiasi hiki wakati mheshimiwa alishatoa mwelekeo juu ya ugonjwa huo?
Ina maana huamini asemacho, na iweje iwe rahisi usiamini kwa hili na hilo jingine uweke "matumaini" yote?
 
Wana mitandao ndio mnaolikoleza hili, Msimamo wa JPM uko wazi!!

Jaya mamboz yanatoka wapi?

Au nyinyi wandishi mnalipwa kuja kutest zali? Mnakuja kwa mtindo ambao ni kama sio washirika wa huu mpango kumbe mnalenu Jambo

Tanzania ni kubwa kuliko mtu bhana
 
"ATAKE ASITAKE"

Bunge linapotumia msemo wa Rais "ATAKE ASITAKE" linaweza kumaanisha moja au yote Kati ya haya:

1. Kumlazimisha Rais kufanya jambo asilopenda kufanya.

2. Kumlazimisha Rais asifanye analopenda kufanya.

3. Kumlazimisha Rais kuacha kuwa Rais kinyume na katiba, au kumlazimisha kuwa Rais kinyume na katiba.

Yote matatu hapo juu yakifanywa na chombo kingine utatumika msamiati mwingine.

Bunge kujiruhusu kuingiza msamiati wa ATAKE ASITAKE kwenye hansard ni kuanzisha utamaduni mpya wa:

1. Mhimili mmoja kuushambulia mhimili mwingine

2. Kumtisha Rais kuwa anaweza kulazimishwa kufanya au kutofanya kazi yake

3. Kuvichokoza vyombo vyenye wajibu wa kumlinda Rais wakiwamo wananchi ili vijiandae kumlinda Rais dhidi ya njama za kumlazimisha kufanya au kutofanya kazi yake.

4. Kuwalazimisha wananchi waharakishe jitihada za kuilinda katiba ili isitumiwe na watu kumlazimisha Rais "kutaka au kutotaka".

Mheshimiwa Rais bila kuingilia shughuli za bunge, asikalie kimya kauli hii.

Baba Askofu Bagonza
Huyu ASKOFU NI WA KIPEKEE SANA amejivisha mabomu kwa ajili ya jamii ya WATZ walioshindwa kusema.
 
Mwelekeo ni uleule. Ulianzia uchafuzi wa serikali za mitaa. Ukafuatiwa na uchafuzi mkuu. Na unahitimishwa na kubadili katiba kuhusu ukomo wa rais. Atake asitake, ila mhusika anataka sana. Penye nia kuna njia.
ndugu yako ni bingwa wa maigizo FO FO TWO ya kuongezewa muda wa utawala ameipanga yeye mwenyewe
 
Champion ni nani
Kuvaa barakoa kama urembo au!!!
Cheameni wako amesema hakuna Covid 19 bali ni Covid 21,na haijali barakoa wala nini,wewe ni nani wa kumtaka moja ya watumishi wa MUNGU wachache waliopo Tanzania kuhimiza uvaaji barakoa huku ukijua dhahiri kuwa yeye ni championi wa kampeni za kujilinda dhidi ya Covid!!?!!
 
giphy.gif

Ati awe Raisi wa milele..Ha! Ha! ah!
 
Ally aje kulazimisha watu huku,Nape alisema kwamba munaweza kumlazimisha mtu,mukamuingezea muda lakini HAMJUI MUNGU AMEPANGA NINI
 
Back
Top Bottom