Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee
Mama kawashika pabaya[emoji28][emoji116]Ally Kessy Na Mkuu Ndugai hawaamini MAUJINGA YAO waliyopanga kwamba yameenda na MAJI.
Unabii?Aombe Mungu awepo maana hana udugu nae, hata Nkuruzinza alitamani kuwepo lakini Mungu ana kazi nae zaidi. Na watu wema namna hii ndo wala hawacheleweshwaji na muumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndicho kilichotokea, kama vile niliotea. Acheni Mungu aitwe Mungu. Tabia ya Magufuli ya kupenda kuabudiwa imemuudhi Mungu mwenye wivu na kumfanya amchukue haraka.Ndugai ni Criminal Suspect na lazima afanye hivyo ili aendelee kuwa salama, lile shambulizi dhidi ya Lissu haliwezi kumuacha salama.
Sisi waafrika tuna kila sababu ya kubaguliwa hapa duniani kwani tunaonyesha mapungufu makubwa sana ya binadamu aliyekamilika.
Wewe unadai eti mtu fulani anafaa kuwa rais wa maisha bila kujua kuwa wewe sio Mungu huyo mtu anaweza kufa hata leo mkishabadilisha katiba sasa baada ya hapo sijui mnarudi tena kubadilisha katiba kurejesha mihula. I just don't know.
Mwaka 1998 dikteta Abacha wa Nigeria alitaka kugombea urais baada ya jina lake kupendekezwa na vyama viwili vilivyoidhinishwa na serikali kushiriki katika uchaguzi mwaka huo.
Ilikuwa ni hivi hivi kujipendekeza kama wanavyofanya hawa akina Ndugai lkn kabla tu ya huo uchaguzi Abacha akafariki ghafla na kupelekea Obasanjo kuachiliwa toka gerezani na kuukwaa urais.
Hawa wanaofanya mambo kwa kuangalia maslahi yao binafsi wajue kuwa wao sio Mungu na wajue kuwa lengo lao halitatimia huyo wanayemtegemea aje awalinde ni mtu tu kama wengine ambaye ana siku yake na inaweza ifike kabla hata hajamaliza mihula yake na ndipo sijui watakuwa mgeni wa nani.
It's nothing but poor vision and myopic mind.
Hatari sanaJuhudi hizo kwa sasa zifanyike kwa Mama Samia... [emoji28]
Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Kama hataki alazimishwe
🤣🤣🤣Kama hataki alazimishwe
Shem ufungue kanisa sasa....Aombe Mungu awepo maana hana udugu nae, hata Nkuruzinza alitamani kuwepo lakini Mungu ana kazi nae zaidi. Na watu wema namna hii ndo wala hawacheleweshwaji na muumba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaHatimae Mungu amesikia kilio chetu lazima tumuongeze Rais wetu muda wa kusalia madarakan