Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy Na Mkuu Ndugai hawaamini MAUJINGA YAO waliyopanga kwamba yameenda na MAJI.
Mama kawashika pabaya[emoji28][emoji116]
IMG_20210329_112523.jpg
 
Ndugai ni Criminal Suspect na lazima afanye hivyo ili aendelee kuwa salama, lile shambulizi dhidi ya Lissu haliwezi kumuacha salama.

Sisi waafrika tuna kila sababu ya kubaguliwa hapa duniani kwani tunaonyesha mapungufu makubwa sana ya binadamu aliyekamilika.

Wewe unadai eti mtu fulani anafaa kuwa rais wa maisha bila kujua kuwa wewe sio Mungu huyo mtu anaweza kufa hata leo mkishabadilisha katiba sasa baada ya hapo sijui mnarudi tena kubadilisha katiba kurejesha mihula. I just don't know.

Mwaka 1998 dikteta Abacha wa Nigeria alitaka kugombea urais baada ya jina lake kupendekezwa na vyama viwili vilivyoidhinishwa na serikali kushiriki katika uchaguzi mwaka huo.

Ilikuwa ni hivi hivi kujipendekeza kama wanavyofanya hawa akina Ndugai lkn kabla tu ya huo uchaguzi Abacha akafariki ghafla na kupelekea Obasanjo kuachiliwa toka gerezani na kuukwaa urais.

Hawa wanaofanya mambo kwa kuangalia maslahi yao binafsi wajue kuwa wao sio Mungu na wajue kuwa lengo lao halitatimia huyo wanayemtegemea aje awalinde ni mtu tu kama wengine ambaye ana siku yake na inaweza ifike kabla hata hajamaliza mihula yake na ndipo sijui watakuwa mgeni wa nani.

It's nothing but poor vision and myopic mind.
Na ndicho kilichotokea, kama vile niliotea. Acheni Mungu aitwe Mungu. Tabia ya Magufuli ya kupenda kuabudiwa imemuudhi Mungu mwenye wivu na kumfanya amchukue haraka.
 
Back
Top Bottom