Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Siyo Wananchi wote,huwa kunakuwa na watu wao wenye sauti ya ushawishi,hivyo wakiongea tu inaonekana watu wote wamewapenda kumbe siyo.Madikteta wote duniani hufanya hivyo kuhalalisha kuendelea kukakaa madarakani tena huwa wanapendwa kweli na wananchi. Hata Hittler au Idi Amini walisifiwa sana kwa kuleta maendeleo nchini mwao