Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Usichokijua ni kwamba Corona imekuja kutoa msaada wa kuondoa udhalimu Afrika na Tanzania ipo Afrika pia. Corona imeanza kung'oa udhalimu Burundi na Tanzania inakuja kung'oa udhalimu pia sooner rather than later!
 
Usichokijua ni kwamba Corona imekuja kutoa msaada wa kuondoa udhalimu Afrika na Tanzania ipo Afrika pia. Corona imeanza kung'oa udhalimu Burundi na Tanzania inakuja sooner rather than later!
Huu Ni Uchochezi wa kiwango Cha standadi geji
 
Lisemwalo lipo kama halipo laja ndugu watanzania tujipinge kisaikolojia kuwa muda wowote sheria inaweza badilishwa na kuongezewa muda wa uongozi wa Mh JPM. Mimi binafsi naunga hoja kwani kwa kipindi cha miaka mitano aliyokaa madarakani amefanya makubwa sana kwa hiyo naamini akipita muda wa kutosha atabadilisha sura ya tanzania na na nchi ya maziwa na asali wa watz wote sio watz wachache kama miaka iliyopita.


I say no no, penye njaa hakuna amani na wazo lafi kama hili.
 
spika angebadilisha hicho kifungu sasa hivi

coz uhakika wa yeye kurudi mjengoni ni zero,na akumbuke spika ajaye ni Paulo
 
Hiyo kitu sizani Kama itawezekana kwakua itaruhusu hata wale waliostaafu kurudi ulingoni kupitia chama chao hivyo kitaleta mvurugano ,nadhani ni hali tu ya kujisafishia njia ya kulejeshwa Tena ktk nafasi zao kwahyo Kila nyimbo itaimbwa.
 
Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.

IMG_20200609_065134.jpg

“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
 
Magufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri

Sio anafanya vizuri, ila ana uchu wa madaraka, na kakuta wananchi wamelala, hivyo anafanya atakacho. Akina Mkapa waliokuwa wanahubiri katiba yetu mwisho wa kiongozi ni miaka 10, wako kimya maana sio wasafi, hivyo hawana la kufanya. Na jamaa kashajua ni waoga, anawasanifu kwa kuwapa ndege tausi!
 
Back
Top Bottom