Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Tumpe miaka 20 zen aje mwengine, cz bado kuna kazi hajamaliza, yuko vzr na kwa miaka hii bado hakuna wa kufit kile kiti zaidi yake.
Tuseme mapaka natural coz ndo aje mwingine ila kwa sasa Cjamuona wa kuthubutu labda baadae
 
Mungu huyu huyu aliyetusikia kwenye COVID-19, atatusikia pia kwamba hatutaki katiba ibadilishwe ili tu eti mtu mmoja kwa matakwa yake aongezewe muda......NO
 
Mungu wetu anasauti zaidi .Nkiruzinza alijua atadondoka ghafla.Alijiwekea mazingiza muhimu yakuongoza hata baada ya uchaguzi.Kwani hao wengine waliokaa miaka 10 wao hawakuwa waziri.Amalize muda wake aondoke.Tupo watanzania 56m wakutosha kupatikaaana mtu mwingine wakutuongoza.Asitushoshe na urais kuongezewa muda
 
Miaka mitano imemtosha sana ashuke aongoze mwingine
 
Uzuri Covid - 19 bado ipo ipo na inapiga wale wanaoidharau.
 
Mungu wetu anasauti zaidi .Nkiruzinza alijua atadondoka ghafla.Alijiwekea mazingiza muhimu yakuongoza hata baada ya uchaguzi.Kwani hao wengine waliokaa miaka 10 wao hawakuwa waziri.Amalize muda wake aondoke.Tupo watanzania 56m wakutosha kupatikaaana mtu mwingine wakutuongoza.Asitushoshe na urais kuongezewa muda
Kwani cha marais waliopita tulishindwaje kuwapata watu sahihi wa kutuongoza?
 
Amefanya aliyoyafanya kwa kuwa alipaswa kuyafanya. Muda ukiisha akapumzike awaachie wengine. Kama madaraka ni matamu akaendelee kuwa mbunge wa chato huenda rais ajae akamteua kuwa waziri wa ujenzi tena. Ccm tutoleeni huu upuuzi wenu mazafaqa
 
Yani jiwe hakustahili kuongoza hata wiki,nyie nzi wa kijana maCCM mbona mnasujudia sana huyu jiwe kipi cha maana hasa alichokifanya kwa wananchi hadi mumuone kama mungu wenu na kumpigia chapuo aongezewe muda ,Tz tunahitaji taasisi imara na katiba bora ya kutuongoza na si jitu moja ndio linaaamua hatma ya watanzania zaidi ya milioni 56,Bastardo mtoa Uzi na wote mnaounga mkono magufuli kuongezewa muda
 
Wafanyakazi wa Umma wote tuta re-sign tukisikia mnapitisha huo uharo
 
Yani jiwe hakustahili kuongoza hata wiki,nyie nzi wa kijana maCCM mbona mnasujudia sana huyu jiwe kipi cha maana hasa alichokifanya kwa wananchi hadi mumuone kama mungu wenu na kumpigia chapuo aongezewe muda ,Tz tunahitaji taasisi imara na katiba bora ya kutuongoza na si jitu moja ndio linaaamua hatma ya watanzania zaidi ya milioni 56,Bastardo mtoa Uzi na wote mnaounga mkono magufuli kuongezewa muda
Sasa anayetaka kutuongoza ni huyo anakwenda kula vyombo mpaka anateguka mguu kweli useme kuna mtu wa kuthubutu kama mzee baba
 
Back
Top Bottom