mzalendo iq1
JF-Expert Member
- Mar 10, 2020
- 1,257
- 1,543
Hatimae Mungu amesikia kilio chetu lazima tumuongeze Rais wetu muda wa kusalia madarakan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lzm itimie connect dot.Kuuwa upinzani,kubinya Uhuru wa habari,kuuwa demokrasia,kuunga juhudi, ikulu mpya,Kinga ya kutoshtakiwa,hoja za kuongeza muda,nk.Wenye maamuzi wa yote ni wananchi.Ni mpango mkakati wa muda mrefu sana
True bila hivo ndoa ya dada kwa shemeji hii mashakani lzm urudi kijijiniHatimae Mungu amesikia kilio chetu lazima tumuongeze Rais wetu muda wa kusalia madarakan
Hivi ni kwamba huwezi Kiswahili au una haraka?Kwa utukufu aliopewa mkuu huenda hata uchaguzi usiwepo wagombea nafasi urais watafika bei, na wabishi watakiona,patafanyika chaguzi wabunge na madiwani wachache ushahidi democrasia!! Vyama washirika ccm.
Angalizo wapambe wa mkuu acheni hizo kumjaza ujinha, tutajuta pamoja. JPM kafanya kazi kubwa Misingi miradi uti wa mgongo uchumi wa kati, kujenga msingi sio kazi ngumu, mtihani kumalizia.
Watz wanamachungu na magumu mengi, tusipowapoteze Jumuia ya kimataifa tutajuta na miradi mingi kusimama.
Mfano sector afya ni kweli yapo majengo mengi ila vifaa na wahudumu wa kutosha na wenye motisha bado!Thamani ex ray pekee yaweza kuzidi Majengo zahanati.
Madaraka yamewalevya.Wasithubutu kufanya huo upuuzi wanaofikiria
Kwa hilo hakuna atakayebaki hata wewe msemaji bila shaka yawezakana hata rais ajae usimuoneAsipoondoka kwa KATIBA ataondoka Kupitia Mochwari
Atakufa tu na ntaendelea Kukoment hapa na Ntafufua hili commentKwa hilo hakuna atakayebaki hata wewe msemaji bila shaka yawezakana hata rais ajae usimuone
Sana lisemwalo lipo kama halipo lajaHaya mambo yako serious kumbe
Haya mambo yako serious kumbe
Nani aliuza nchi kwa mabeberu?Kuuza nchi kwa mabeberu na mafisadi ni kuacha nchi salama jinga kabisa wewe ,tulikuwa tunaambiwa ni mchanga kumbe ni madini ya zaidi ya $360mil yanatoroshwa na uchafu wa IPTL
Ndugu fikiria kwa makini maneno yako, wangapi walijua sportman Pierre leo angezimika au nae afya mgogoro, yawezekana wakaondoka wazima hao wenye kutumia betry wakabakiKwa Afya zao za Kutumia Battery kwenye Moyo sijui kama hata Miaka miwili Mbeleni watakuwa hai!
Ndugai mwenyewe anapumulia machine
Tumpe miaka 20 zen aje mwengine, cz bado kuna kazi hajamaliza, yuko vzr na kwa miaka hii bado hakuna wa kufit kile kiti zaidi yake.Lisemwalo lipo kama halipo laja ndugu watanzania tujipinge kisaikolojia kuwa muda wowote sheria inaweza badilishwa na kuongezewa muda wa uongozi wa Mh JPM. Mimi binafsi naunga hoja kwani kwa kipindi cha miaka mitano aliyokaa madarakani amefanya makubwa sana kwa hiyo naamini akipita muda wa kutosha atabadilisha sura ya tanzania na na nchi ya maziwa na asali wa watz wote sio watz wachache kama miaka iliyopita.
DuhNimemsikia Ndugaye jana anasema iwe isiwe lazima mkulu aendelee