Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Acha uwongo wewe Sheria hujui unakurupuka tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishasema hataongeza muda na bado ukasifia.Magufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri
Lakini asiwe mwenyekiti wetu wa kudumu.Kama Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu kwanini tusiwe na Rais wa kudumu[emoji16]
Rais Magufuli kodi za wanachi anazisimamia vizuri.Anafanya kwa mshahara wake?
Ile ya tausi nilishangaa sana. Kana kwamba hao ndege hawajawahi kuwapo hapo ikulu.Sio anafanya vizuri, ila ana uchu wa madaraka, na kakuta wananchi wamelala, hivyo anafanya atakacho. Akina Mkapa waliokuwa wanahubiri katiba yetu mwisho wa kiongozi ni miaka 10, wako kimya maana sio wasafi, hivyo hawana la kufanya. Na jamaa kashajua ni waoga, anawasanifu kwa kuwapa ndege tausi!
Baba wa taifa lako ni "BERLIN CONFERENCE"Wenye masikio mmemsikia Spika wetu jana na baadhi ya Wabunge kuwa Bunge lijalo tutakuwa wenyewe na tutaibadilisha Katiba na kwamba Katiba sio Msaafu.
Binafsi nawatakia kila la heri ila nawakumbusha kuwa Katiba hiyo ndiyo aliyokuwa Anailinda na Kuitetea Hayati Mwl. Nyerere.
tumekabidhi nchi kwenye mikono mibaya
Mwl.Nyerere,utake usitakeBaba wa taifa lako ni "BERLIN CONFERENCE"
Aliyoyaanza na anayoyatekeleza Rais Magufuli hakuna mwenye uthubutu wa kuyaendeleza. Ni vema tukamuongezea muda ili ayakamilishe. Hoja nzuri sana... Kessy ni hazina kwa Taifa hili.
@Bia yetuMagufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri
kwa hiyo hakuna kiraka mwingine huko lumumba?!Magu akigoma akaamua kustaafu mtaandamana na kumshikia bakora?!aisee!😂😂Kuuza nchi kwa mabeberu na mafisadi ni kuacha nchi salama jinga kabisa wewe ,tulikuwa tunaambiwa ni mchanga kumbe ni madini ya zaidi ya $360mil yanatoroshwa na uchafu wa IPTL
Ni kama alivozuwia Corona data na kuonesha kuwa hakuna maambukizi.JPM hajazuia rushwa, alichofanya ni kuminya uhuru wa vyombo vya habari ili visitangaze mambo ya rushwa. Lengo hasa ni kuhadaa umma kuwa hamna rushwa ili akae madarakani atakavyo. Hilo la yeye kutaka kukaa madarakani alianza toka alipoingia madarakani kwa kuwatuma kuna Nkamia. Hii kunajisi chaguzi za nchi hii, ni ili kupata watu watakaomuongezea muda wa kukaa madarakani zaidi ya muda wa sasa wa katiba. Ila mjue mnacheza mchezo bwana hatari ile mbaya. Mchelea mwana kulia ...
NakubaliiItawachukua wote wawili sooner rather than later! Mark my words
Bibie upo ? Naona unawatetea mambula wenzio wa ccm ...Kuna cku hao mambulula wenzio watatuletea na sheria za ushoga napo pia utashangilia... punguza upimbi wwAcha uwongo wewe Sheria hujui unakurupuka tu