Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Ally Kessy: Katiba sio msaafu, Rais Magufuli akimaliza muda wake tutatengua Katiba aongezewe muda | Spika Ndugai amuunga mkono

Magufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri
Afanye vizuri na aendelee kufanya vizuri, lakini katiba lazima iheshimiwe. Hao waliomtangulia wangekuwa na uchu wa madaraka asingekuwepo kwenye huo urais leo. Hilo la kuongeza muda ni wazo la hovyo kabisa la watu ambao hawajiamini kwenye nafasi zao.
 
Anatafuta huruma kwa Mwenyekiti wake huyo Dah njaaa kali
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

kama mshajihakikishia kurudi, mnachokitafuta mtakipata, endeleeni hivyo hivyo kutupambaza, ni mtutu tu ndio utakaowarudisha bungeni na sio ballots
 
Nyerere ndie wa kubeba lawama kwa yote haya kwa kutuletea katiba mbovu ya uendeshaji nchi ambayo ilimlinda yeye,Hii katiba ilitengenezwa bila kuwashirikisha wananchi,hii katiba si nzuri kwa ustawi wa nchi Bali kwa ustawi wa kikundi cha wanufaika wachache wasiojali kuhusu uhai wa taifa.Hata alipokufa ilionywa Sana ipo siku tutalizwa, yametimia Kama ndugai keshatamka mbunge gani wa ccm wa kupinga ili aache kunufaika?
 
Ni JPM anawatuma? Maana alianza mkaa wa mia miaka kadhaa na saizi,Ndugai tena.......Jpm amekanusha mara kadhaa ila bado wanarudia rudia,niyeye anawatuma? Tz tulikuwa nchi ya mfano sana kama ila kwasasa sidhani kama tuna heshima tena kwa kauli kama ya spika.......kuna watu hii amani hawaipendi kabisa
 
Nyerere ndie wa kubeba lawama kwa yote haya kwa kutuletea katiba mbovu ya uendeshaji nchi ambayo ilimlinda yeye,Hii katiba ilitengenezwa bila kuwashirikisha wananchi,hii katiba si nzuri kwa ustawi wa nchi Bali kwa ustawi wa kikundi cha wanufaika wachache wasiojali kuhusu uhai wa taifa.Hata alipokufa ilionywa Sana ipo siku tutalizwa, yametimia Kama ndugai keshatamka mbunge gani wa ccm wa kupinga ili aache kunufaika?
 
Nyerere ndie wa kubeba lawama kwa yote haya kwa kutuletea katiba mbovu ya uendeshaji nchi ambayo ilimlinda yeye,Hii katiba ilitengenezwa bila kuwashirikisha wananchi,hii katiba si nzuri kwa ustawi wa nchi Bali kwa ustawi wa kikundi cha wanufaika wachache wasiojali kuhusu uhai wa taifa.Hata alipokufa ilionywa Sana ipo siku tutalizwa, yametimia Kama ndugai keshatamka mbunge gani wa ccm wa kupinga ili aache kunufaika?
 
Kama vile umekaririshwa mambo ya kuandika humu!!!

Uhuru wa vyombo vya habari upi umeminywa wakati unatumia uhuru huo kuandika hayo? Ni uhuru huo kuna vyombo vingi binafsi vya habari kuliko vya Serikali ambavyo vipindi vyao na mahudhui ya vipindi hujipangia vyenyewe. Uhuru huo wa vyombo vya habari ndio ambao unatumiwa kuwasilisha maoni, lawama, kejeli, matusi (hata ya nguoni), kashfa nk dhidi ya Chama Tawala, Serikali na viongozi wake.
Hapa Forum kwenyewe tunaandika kimachale ndiyo iwe vyombo kama TV,Radio,Gazeti,Jarida viwe Huru? Uhuru wa habari hakuna na halihitaji mjadala maana ndiyo ilivyo kwa matakwa ya watawala.Visingizio vingiii,vinatukana,vinakashifu,vinakwamisha kazi na juhudi,wachochezi na kesi zenye faini nzito za kupaishia uchumi ndiyo Uhuru. Sheria ya Habari imepigiwa kelele tangu awamu ya kwanza hadi hii bila mafanikio ila kuweka vifungu kandamizi zaidi ni sawa hats usiku kunawezekana.
Sawa watawala wanafikiria Sisi Watanzania ni wajinga?Labda ni waoga au wamejazwa hofu kwa propaganda na kunyimwa elimu ya uraia,katiba ya Wananchi na vyombo/mihimili imara hasa MAHAKAMA.
Watanzania wenzangu,ni wajibu wa kila mmoja wetu kwa nafasi yake ahakikishe haki zetu tunatakiwa kuzifahamu,kuzitetea na kuzilinda kwa wivu mkubwa.Kina Mh.Mbowe pekee hawawezi.
 
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Rais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Hata enzi za Manabii na Mitume tena wale Watakatifu wanafiki walikuwepo mpaka YESU KRISTO alipowashushua na kuwaambia wanafiki nyinyi ni Heri kuishi na mchawi kuliko mnafiki
 
Aliyoyaanza na anayoyatekeleza Rais Magufuli hakuna mwenye uthubutu wa kuyaendeleza. Ni vema tukamuongezea muda ili ayakamilishe. Hoja nzuri sana... Kessy ni hazina kwa Taifa hili.
Kwani analima bange kuwa hakuna mtu mwingine atakayedhubutu kuendeleza?
 
Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.

View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Arudi jimboni mwake hivo njia pekee ya kumrudisha ni lzm waimbo nyimbo za kumfurahisha mfalme.
Nje ya siasa Hawa ni lazima wafe njaa
 
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).

Wafute uchaguzi na vyama vote via upinzani na Mzee Magu awe raisi wa maisha.
Hata huko mbinguni pia akatawale.
 
Sioni haja ya kulalama rais kafanya makubwa tumwache na tumpe miaka mingine atuvushe,lawama za nini? Au tunataka rais mla rushwa kitu ambacho JPM kakikataa?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kama for 5 yrs ameshindwa kupambana na umasikini hio milele ndo ataweza.Au sababu mnaangalia kunufaika kwenu
 
Back
Top Bottom