mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mshambiwa katiba siyo msaafu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Tausi anawagawana .......................!!Magufuli Ni Jizi Kuliko Hata Kikwete Na Mkapa
Afanye vizuri na aendelee kufanya vizuri, lakini katiba lazima iheshimiwe. Hao waliomtangulia wangekuwa na uchu wa madaraka asingekuwepo kwenye huo urais leo. Hilo la kuongeza muda ni wazo la hovyo kabisa la watu ambao hawajiamini kwenye nafasi zao.Magufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Hapa Forum kwenyewe tunaandika kimachale ndiyo iwe vyombo kama TV,Radio,Gazeti,Jarida viwe Huru? Uhuru wa habari hakuna na halihitaji mjadala maana ndiyo ilivyo kwa matakwa ya watawala.Visingizio vingiii,vinatukana,vinakashifu,vinakwamisha kazi na juhudi,wachochezi na kesi zenye faini nzito za kupaishia uchumi ndiyo Uhuru. Sheria ya Habari imepigiwa kelele tangu awamu ya kwanza hadi hii bila mafanikio ila kuweka vifungu kandamizi zaidi ni sawa hats usiku kunawezekana.Kama vile umekaririshwa mambo ya kuandika humu!!!
Uhuru wa vyombo vya habari upi umeminywa wakati unatumia uhuru huo kuandika hayo? Ni uhuru huo kuna vyombo vingi binafsi vya habari kuliko vya Serikali ambavyo vipindi vyao na mahudhui ya vipindi hujipangia vyenyewe. Uhuru huo wa vyombo vya habari ndio ambao unatumiwa kuwasilisha maoni, lawama, kejeli, matusi (hata ya nguoni), kashfa nk dhidi ya Chama Tawala, Serikali na viongozi wake.
"Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Hata enzi za Manabii na Mitume tena wale Watakatifu wanafiki walikuwepo mpaka YESU KRISTO alipowashushua na kuwaambia wanafiki nyinyi ni Heri kuishi na mchawi kuliko mnafikiRais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
Kwani analima bange kuwa hakuna mtu mwingine atakayedhubutu kuendeleza?Aliyoyaanza na anayoyatekeleza Rais Magufuli hakuna mwenye uthubutu wa kuyaendeleza. Ni vema tukamuongezea muda ili ayakamilishe. Hoja nzuri sana... Kessy ni hazina kwa Taifa hili.
Arudi jimboni mwake hivo njia pekee ya kumrudisha ni lzm waimbo nyimbo za kumfurahisha mfalme.Hiyo jana akihitikisha vioja vya kushambuliwa kwa Mbowe na kuunga hoja ya Ally Kesi juu ya kutengua katiba na kuongeza muda wa rais kuongoza toka mihula miwili na kuwa rais wa maisha.
View attachment 1473934
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Bia yetu simuoni au aungi tamkoMagufuli anafanya vizuri maamuzi ya kumuongezea muda ni wazo zuri
Wafute uchaguzi na vyama vote via upinzani na Mzee Magu awe raisi wa maisha."Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Kama for 5 yrs ameshindwa kupambana na umasikini hio milele ndo ataweza.Au sababu mnaangalia kunufaika kwenuSioni haja ya kulalama rais kafanya makubwa tumwache na tumpe miaka mingine atuvushe,lawama za nini? Au tunataka rais mla rushwa kitu ambacho JPM kakikataa?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Bashite is the next sabuufa so hio combinenga ya jiwe and bashite tutasema angalau jobKwani Kigogo anasemaje kule twitani?