Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Mimi sio masikini,nitoe kwenye kundi hill,niweke kwenye kundi la middle income people, tangu nazaliwa na kukua nimekulia ccm,na ninaona inatuletea maendeleo sasa shida ya nini?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
HakunaIvi kweri ccm wote akuna mwenye uwozo wa kumzidi magufuri kwenye utendaji kwaiyo hoja asitoke kisa miradi itakufa hii fact ni kwa africa tu
Ni mchakato wa mda mrefu tangu alipoingia ni lzm atawale milelelakini mh.magufuli alisema hataki hataki hicho kit mh.kessy anawashwa na nn?
Lengo ni kuwahadaa mabeberu ili wasikose misaada.Uzuri washaiona janja yaoKama ni hivyo kuna haja gani ya kufanya uchaguzi? Serikali inapoteza mamilioni ya fedha kuandaa uchaguzi harafu ubabe unatumika kukibakiza Chama pendwa madarakani?
Kwa hiyo anafaa sababu anafanya km unavyotaka wewe?Yes tunaweza kusema asiongezewe muda. Na hata yeye hana mpango huo. Ila lazima tukubali. Magufuli ndiye rais bora africa kwa sasa. Na ndiye rais maarufu africa kwa sana. Na ndiye rais mwenye akili nyingi sana africa. Hilo halina ubishi. Binafsi namwamini sana. Maana kila anachokisema ni kama huwa anasema na akili yangu, kila uamuzi anaouchukua huwa kama ameingia kichwani kwangu akajua nlitamani afanye vile
Hayo yote Ni matokeo ya Kodi zetuMkuu kwa kweli huyu Raisi ni mwamba tena inapaswa tumlinde kweli kila mwenye uwezo wa kumlinda huyu Rasi kwa namna yeyote ile hamlinde.
Nimepita juzi pale Busisi Mwanza nimekuta material yamemwagwa pale ya kutosha, wa China wanapiga kazi usiku na mchana kujenga daraja la Busisi ambalo ndio litakuwa kubwa kuliko yote Africa mashariki na litagharimu takriban bilion 200. Hili daraja litakuwa mkombozi kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi za maziwa makuu. Wakati huo huo SGR ya kutoka Dodoma-Tabora-Isaka-Mwanza hadi Rwanda nayo ipo mbioni kuanza, Mungu atupe nini zaidi Watanzania.
R.I.P Pierre Nkurunziza. Alijipangia mengi makubwa yajayo lakini Mungu akapanga yake."Kuna watu ni wanafiki Katiba siyo Msaafu, muda wowote inabadilishwa na siyo Rais wa kwanza kuongezewa muda, atake asitake alazimishwe haiwezekani kumuachia nafasi, naulizwa kila siku baada ya Magufuli nani anafuata mimi nasema anaongezewa muda"- Ally Kessy (CCM).
Spika Ndugai ajibu hivi
“Mheshimiwa Keissy ngoja tuende uchaguzi mkuu, turudi, na mimi naamini sote tunarudi. Hilo ulishikie uwe nalo moyoni, tutarudi hapa [bungeni] salama, azimio hilo utakuja kulileta wewe Mzee Keissy na litapita kwa kishindo, atake asitake [Rais Magufuli] tutaongeza muda,” Job Ndugai
Hicho tu? kwamba hakuna Mtanzania mwingine kati ya watu wazima Milioni 30 ambaye anaweza kufanya makubwa zaidi? Ni udhaifu kufikiria kitu kama hichoRais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
MMMMMHHHHHRais Magufuli anafaa aongezewe muda anafanya mambo makubwa
KWELI CONSULTANTHicho tu? kwamba hakuna Mtanzania mwingine kati ya watu wazima Milioni 30 ambaye anaweza kufanya makubwa zaidi? Ni udhaifu kufikiria kitu kama hicho