Afu show ambazo hufanya kiba peke yake bila uwepo wa domo hata huwa hazishitui kwa mfano kuna show mbili zilifanyika juzi kati kiroba na mwendo kasi festival sijui ziliishia wapi.....lkn angalia ile ya Mombasa....so ukweli haujifichi kiba bila mond is nothingLakini mkuu nimeuliza tu nikitaka kujuaa enzi hizooo