Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

Ally Kiba acha mziki kaimbe kaswida

Lakini mkuu nimeuliza tu nikitaka kujuaa enzi hizooo
Afu show ambazo hufanya kiba peke yake bila uwepo wa domo hata huwa hazishitui kwa mfano kuna show mbili zilifanyika juzi kati kiroba na mwendo kasi festival sijui ziliishia wapi.....lkn angalia ile ya Mombasa....so ukweli haujifichi kiba bila mond is nothing
 
hapana kaka tittle yako haijakaa vzr kaka kusema ally kiba acha muziki aimbe kaswida dah! Aiseeh watu mnajua kuvunja moyo watu hv kama ww ndo aikiba ukakutana nanhii post utafanyaje? i know kiba he is my best friend.ndo maana nakushangaa ww
 
Afu show ambazo hufanya kiba peke yake bila uwepo wa domo hata huwa hazishitui kwa mfano kuna show mbili zilifanyika juzi kati kiroba na mwendo kasi festival sijui ziliishia wapi.....lkn angalia ile ya Mombasa....so ukweli haujifichi kiba bila mond is nothing
Team kibaraza hawataki kuamini hii kitu
 
hapana kaka tittle yako haijakaa vzr kaka kusema ally kiba acha muziki aimbe kaswida dah! Aiseeh watu mnajua kuvunja moyo watu hv kama ww ndo aikiba ukakutana nanhii post utafanyaje? i know kiba he is my best friend.ndo maana nakushangaa ww
Kwan uongo au??
 
Jamaa kalale jamaa maana unataka kunifanya nipoteze muda wangu kwa ajiri yako. uck mwema unaonekana kama kichwa kiko empty so sina kitu cha kukuzaja bwana mdogo
 
Jamaa kalale jamaa maana unataka kunifanya nipoteze muda wangu kwa ajiri yako. uck mwema unaonekana kama kichwa kiko empty so sina kitu cha kukuzaja bwana mdogo
Aiseee nshakuwa bwana mdogo tena duuuh
 
hivi team diamond mnataka nini cha zaidi kwa alikiba ishagundulika diamond ni wakimataifa....hamlidhiki mpaka muone alikiba kaacha muziki au ajibu mnachikitaka.....msikurupuke kumsema mtu ambaye hakuongezei kitu,
 
Ushauri wa bure nampa mdogo wangu Ally Salehe Kiba bora aache mziki akaimbe kaswida maana hana cha maana anachokiimba zaidi ya kudandia nyota ya Diamond platnumz chibu dangote ukipenda muite Simba vampire



Siku Dai atakapo tangaza kuacha mziki ndio utakao kuwa mwisho wa Ally Kiba kusikika maana siku zote anafanya kazi kwa kupitia mgongo wa Dai na hii ndiyo sababu kuu inayomfanya kiba kutokubali kuvunja uwepo wa team zilizopo (team dai vs team kiba) kwa kuwa anajua kuvunjika kwa team ndio kushuka kwa jina lake kwa kasi na mwisho atakuwa level sawa na wasanii wengine kama vile barnaba na belle 9


Kiba kinachomdanganya ni sauti kumbe wapi maskini ya Mungu hamna kitu hajui kutengeneza ngoma kali licha ya kuwa na sauti nzuri kwa hiyo kwa nampa ushauri popote pale umfikie ya kuwa time yake ya kuacha mziki imewadia bora akaimbe kaswida na kupiga madufu




View attachment 401573


View attachment 401574



View attachment 401575
Unamfanyia kazi Diamond kwa uaminifu mkubwa sana.Unastahili nyongeza.
 
Kuna chance kubwa kabisa mleta mada hupati hata 10% ya anachoingiza Kiba kwa mwezi kwa huo huo muziki wake uchwara
 
Paaaaaaaaaaaaap Pen down Muda Umeisha Kusanyeni karatasi leteni hapa!!!!!

Leo nikiwa kama Mdau wa Muziki na wasanii acha nilonge. Kwa muda mrefu kumekua na Vijmaneno vyenye shombo ambavyo hutumika kuwachafua hawa Wasanii wetu yaani Mfalme wa Kigoma(Alikiba) na Huyu simba wa Tandale(Baba T) pasipo hata sababu.

Labda niseme ninacho kijua katika hili:-
Kili jambo lina wakati wake hapa duniani, jambo hilo laweza Dumu kwa muda ama Milele(Inategemea walimwengu watalipokea Vip). Miaka ya 2006 mpaka 2010-011 ilkua na Muda/wakati wa Kiba yaani kila kona ilikua ni Kiba Kiba Kiba Kiba (sijamaanisha kwamba hafanyi tena Vizuri kwa sasa ila Ukwel ni kwamba Upepo umebadilika mno) wasanii wameongezeka na wanafanya Kazi Nzuri Mno kama majini yani.

Miaka ya 2010 na kuendelea hadi leo hii ni wakati wa bwana Mdogo simba wa Tandale( Baba T).... hii iko wazi na hakuna wakupinga na hii inatokana na kazi zake kuzidi kuchombeza masikio ya wengi na hata kuzikonga nyoyo za Vijana wakibongo na yeye hivyo hivyo pepo zikigeuka atabaki kuwa kama wengine( Kama atakaza lakini).

Swala la Kick...
Iko hivi.... Kila ainukapo nyota pahala popote ni lazima kando yake paonekane watu ama wadau wakuutaka mwanga wa nyota yule. Huu ni ukweli wangu tuu... Leo hii usingemfahamu DUDU BAYA kama Asinge Ibuka Kijana huyu kutoka pande za Useri mitaa ya Rombo kule shimbi bwana mdogo Luckas Mkenda almaarufu kama Mr.Nice. Hivyo basi wasanii wengine ni hali ya kawaida tuu kuonekana katika mwanga wa Diamond kwa sasa licha ya wao na wenyewe kuwa Nyota.

Kiba ni msanii Mkubwa tuu katika nchi hii hivyo hana haja yakutafuta kick kwa Mondi wala Mondi kutafuta kick kutoka kwa Mfalme wa Kigoma wote wanajua bhana.....

Ni hayo tuu kwa leo... waiter niletee glass na Barafu niukonge Moyo wangu nipotezee ya walimwengu🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Kanunue bisi na Pepsi jumanne saa kumi na moja jioni na saa kumi na mbili tazama kichupa kipya MTV base cha King kiba na baraka da Prince kimyakimya povu lisiwatoke
 
We ni kipi cha maana ulichofanya apa duniani,,
 
Hivi kwanini asiwe, belle 9,mrisho mpoto, dogo janja, madee, young d, nikki wa pili, tunda man, kassim mganga, y tony na wengine wengi ila iwe Alikiba tu??? Je huyu ndo hajui kuimba kuliko hao wengine wote au ni vice versa, mtu humchangii mchango wa kuingia studio, kufanya video ila unakuwa kihelehele km cha kwanza, alafu unakuta mleta mada ni mwanaume mwezie kabisa, nyie ndo mnafanya wanaume wa dar wanasemwa kwakuwa mna mambo ya kike kabisa
Hahahaaaa true brother uyu jamaa kaishiwa kuongea
 
Jitu zima linadandia eti kiba anaimba 7bu ya diamond kiba alikuwepo kabla ya mond kuwa kwenye mziki
 
Back
Top Bottom