EVANCE HENRY
Member
- Aug 9, 2011
- 79
- 77
Alipata zero form six Jitegemee kutokana na kuegemea sana kwenye mpira ila badae alijiendeleza na sasa ana elimu nzuri tu.Nasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Wewe ni nyumba-ndogo ya malinzi???Degree ya nini?Ally ana certificate ya biashara kutoka hapo chuo cha ngono CBE sijui hii Certificate aliipataje na yai lake. Asante Mama Ndalichako kwakuondoa upuuzi kama huu wa aliepata zero form4 kuwa na degree.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
UmetokotaNikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.
Alijiendeleza mpaka Certificate?House girl wangu yupo hapo CBE anachukua Certificate ya Marketing.Alipa
Alipata zero form six Jitegemee kutokana na kuegemea sana kwenye mpira ila badae alijiendeleza na sasa ana elimu nzuri tu.
Pia hatuangalii mtu alipotoka tunaangalia alipo sasa yani kwa mfano huwezi kumhukumu mtu mwenye degree eti alipata zero form six ila tutaangalia kama ana degree na vyeti ni vyake basi zero inasahaulika.
Kufeli ni moja ya hatua kwenye maisha na sio kwamba mtu akifeli anapoteza ubora wake, wapo waliofeli wakasoma upya na wamefika mbali tu mfano mzuri ni Ally Mayay ambae anaonekana kukubalika miongoni mwa watanzania wengi ila sijajua hali ikoje kwa wapiga kura mana uchaguzi wa TFF ni kama wa USA ambapo wananchi wanaweza wakampenda mgombea fulani ila system ikawawekea mwingine na bahati mbaya waathirika wakuu wa uongozi ni wananchi.
We we ulipata division ngapi???Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.
Wewe ulipata division ngapi?? Weka vyeti vyako kwanza hapa ili tujilidhishe zen tuhamie kwa tembele AllyNikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..
Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??
Mkibisha hii naleta jingine.
Kwani yeye anagombea?Wewe ulipata division ngapi?? Weka vyeti vyako kwanza hapa ili tujilidhishe zen tuhamie kwa tembele Ally
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..... Decision 0.... [emoji119]Alifeli ana decision 0 hawezi kuongoza TFF..msituletee mambo ya abajalo Sinza Hapa.tff ni kitu kikubwa.
Hapo sasa ndio nilipoanzia kukudharauWahaya tuungane kwa hili jambo.
Ongezea bashiteKwani mtu akipata zero ndo hawezi kuongoza? Mbowe wa Chadema alipata zero....Ole Sendeka wa CCM alipata zero na wote hao wanaongoza vzr tu so tutegemee mazuri toka kwa Ally Mayay
Unatafuta umaarufu kusema ameanza kampeni yeye alienda kuchukua fomu Na watu wakusindikiza tumeona hata wakati wa Wagombea wa Siasa walikuwa wanaenda kuchukua fomu wakiwa Na wapambe ndio maana kama unakumbuka waandishi walimuuliza akiwa anachukua fomu akasema hawezi kuongea chochote kwa Muda wa kampeni haujafika ukifika atazungumza , amewashika Pabaya mnatafuta pakutolea. Wewe aliye kutuma ndio ameanza kampeni kwa kuanza kumchafua mwenzake aliyekutuma ndio unatakiwa afungiwe siyo Mayai. Kuhusu KUPATA Zero sio kwamba huyo MTU ni mbumbu ndugu mtiani unafanywa Siku moja ndio una mjudge MTU kwasiku moja MTU aliyesomea miaka miwili au minne . lakini Leo wewe Na hiyo division one yako ukiwekwa Na Mayai Leo ktka kupambanua mambo kama msomi utaficha hivyo vyeti vyako. Unatakiwa KUPATA maalifa sio vyeti. Jipange upya. Hata mm nilipata zelo lakini Leo ni Graduate material sio vyeti. Na niliishia hapo Na 1degree nyie wataka vyeti wakaunga kutafuta vyeti vikubwa zaidi ndio nyie hamueleweki humu mitaani Leo mnasema mnataka hiki mkipewa mnaseba bola kile mlichokuwa nacho tatizo vyeti ngoja tuendelee kuvitumbua tu.poleMwanzoni umesema unamjua vizuri.......mwishoni una malizia hujui hiyo division 0 ni ya form 4 au 6......umetumwa wewe.
Yaani yeye ndio kaanza kampeni anatakiwa kufungiwa yeye kwanzaMkuu, mtoa mada yupo kazini, hafu hajui hata namna ya kuwasilisha mada...
Malinzi ndo kawatuma Wajinga wajinga hivi wake kuchafua opponents wake humu!!?
Hao waliomtuma nao hata hawajui the right person wa kumtumia sasa mtu anasema anamjua vizuri Ally Mayai halafu tena anarudi kujiuliza sijui sekondari alisoma Makongo au la.Sasa kama unabashiri kuhusu alipofeli, huoni aibu
Wewe ni nyumba ndogo ya mayai?Wewe ni nyumba-ndogo ya malinzi???