Alipa
Alipata zero form six Jitegemee kutokana na kuegemea sana kwenye mpira ila badae alijiendeleza na sasa ana elimu nzuri tu.
Pia hatuangalii mtu alipotoka tunaangalia alipo sasa yani kwa mfano huwezi kumhukumu mtu mwenye degree eti alipata zero form six ila tutaangalia kama ana degree na vyeti ni vyake basi zero inasahaulika.
Kufeli ni moja ya hatua kwenye maisha na sio kwamba mtu akifeli anapoteza ubora wake, wapo waliofeli wakasoma upya na wamefika mbali tu mfano mzuri ni Ally Mayay ambae anaonekana kukubalika miongoni mwa watanzania wengi ila sijajua hali ikoje kwa wapiga kura mana uchaguzi wa TFF ni kama wa USA ambapo wananchi wanaweza wakampenda mgombea fulani ila system ikawawekea mwingine na bahati mbaya waathirika wakuu wa uongozi ni wananchi.