Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Ally Mayai Tembele alipata division 0 form 6 au form 4

Kwa ajili ya michezo alipata Zero form six jitegemee secondary .baada ya kutambua ugumu wa kuchanganya Shule na michezo,alijikusanyia hela za ada akajiunga Diploma CBE na kuweka kando michezo.Ni msomi mwenye bachelor
 
Alipa
Nasema mkibisha hilo la kupata 0 nitatoa lingine kubwa..msinipimie...nimechokoza mada..Nina data..
Alipata zero form six Jitegemee kutokana na kuegemea sana kwenye mpira ila badae alijiendeleza na sasa ana elimu nzuri tu.
Pia hatuangalii mtu alipotoka tunaangalia alipo sasa yani kwa mfano huwezi kumhukumu mtu mwenye degree eti alipata zero form six ila tutaangalia kama ana degree na vyeti ni vyake basi zero inasahaulika.
Kufeli ni moja ya hatua kwenye maisha na sio kwamba mtu akifeli anapoteza ubora wake, wapo waliofeli wakasoma upya na wamefika mbali tu mfano mzuri ni Ally Mayay ambae anaonekana kukubalika miongoni mwa watanzania wengi ila sijajua hali ikoje kwa wapiga kura mana uchaguzi wa TFF ni kama wa USA ambapo wananchi wanaweza wakampenda mgombea fulani ila system ikawawekea mwingine na bahati mbaya waathirika wakuu wa uongozi ni wananchi.
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Umetokota
 
Alijiendeleza mpaka Certificate?House girl wangu yupo hapo CBE anachukua Certificate ya Marketing.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
We we ulipata division ngapi???
 
Nikimjua vizuri yeye Ali..kwa maana tukiishi jirani kabisa..na mama yake mzazi Ali pale Dodoma kuna sehem alipata 0..kama sio form 4 basi 6..

Yeya alikuwa akisomea secondary dar es salaam.. Makongo sijui makongo..sasa ataweza kweli kuongoza TFF??

Mkibisha hii naleta jingine.
Wewe ulipata division ngapi?? Weka vyeti vyako kwanza hapa ili tujilidhishe zen tuhamie kwa tembele Ally
 
Lakini kupata ziro shuleni kuna madhara yake kwenye uongozi....angalieni Mkapa na Kikwete.....si mmeona majanga waliyofanya? Hawa wote walipata ziro ila wakajiendeleza na baadaye wakarudia asili yao, majanga ya taifa.
 
Alifeli ana decision 0 hawezi kuongoza TFF..msituletee mambo ya abajalo Sinza Hapa.tff ni kitu kikubwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]..... Decision 0.... [emoji119]
 
Mwanzoni umesema unamjua vizuri.......mwishoni una malizia hujui hiyo division 0 ni ya form 4 au 6......umetumwa wewe.
Unatafuta umaarufu kusema ameanza kampeni yeye alienda kuchukua fomu Na watu wakusindikiza tumeona hata wakati wa Wagombea wa Siasa walikuwa wanaenda kuchukua fomu wakiwa Na wapambe ndio maana kama unakumbuka waandishi walimuuliza akiwa anachukua fomu akasema hawezi kuongea chochote kwa Muda wa kampeni haujafika ukifika atazungumza , amewashika Pabaya mnatafuta pakutolea. Wewe aliye kutuma ndio ameanza kampeni kwa kuanza kumchafua mwenzake aliyekutuma ndio unatakiwa afungiwe siyo Mayai. Kuhusu KUPATA Zero sio kwamba huyo MTU ni mbumbu ndugu mtiani unafanywa Siku moja ndio una mjudge MTU kwasiku moja MTU aliyesomea miaka miwili au minne . lakini Leo wewe Na hiyo division one yako ukiwekwa Na Mayai Leo ktka kupambanua mambo kama msomi utaficha hivyo vyeti vyako. Unatakiwa KUPATA maalifa sio vyeti. Jipange upya. Hata mm nilipata zelo lakini Leo ni Graduate material sio vyeti. Na niliishia hapo Na 1degree nyie wataka vyeti wakaunga kutafuta vyeti vikubwa zaidi ndio nyie hamueleweki humu mitaani Leo mnasema mnataka hiki mkipewa mnaseba bola kile mlichokuwa nacho tatizo vyeti ngoja tuendelee kuvitumbua tu.pole
 
Mkuu, mtoa mada yupo kazini, hafu hajui hata namna ya kuwasilisha mada...
Malinzi ndo kawatuma Wajinga wajinga hivi wake kuchafua opponents wake humu!!?
Yaani yeye ndio kaanza kampeni anatakiwa kufungiwa yeye kwanza
 
Kuna kipindi Tulionana na Prif Juma Mikidadi, alituelezea historia yake yeye akiferi darasa la saba ila akaja kuwa profesa.
 
Back
Top Bottom