Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂ukiniona nastahili hurumaMtu kama wewe huwezi kutekwa
Matajiri wao hawana unyenyekevu wowote kama wana watu wa aina hiyo, labda unafiki.Kwenye mabasi 90% wafanyakazi wote ni vilaza anzia hadi madreva na makonda, mkata tiketi, huduma nzuri tulipata Kwa scandinavia, Zainabus, sumry ndio walikua na lugha adhimu kidogo, hayo mavilaza mengine kwenye hizo kampuni unaweza kulia, kama umehudumiwa na watu wa mabasi pale kenya na Rwanda au Uganda, Tanzania unaona hawa jamaa takataka, wanajihisi na wao ni matajiri wakati matajiri wao ni wanyenyekevu Kwa wateja
Huyo njaa inamsumbua unajua Watanzania wengi ni masikini na wana mzigo mkubwa wa familia unawategenea sasa mambo ya kiwa Magumu nyumbani mfano kula tu ya tabu, na Ndugu wamemuomba pesa ndiyo kuchanganyikiwa kunazidi yani ukikosea jamboree dogo bila kujua utafokewa kwa asila.Wafanyakazi wa ofisi za mizigo makampuni ya mabasi ni vilaza hawajui kama hiyo mizigo ndipo kula yao ilipo hata pale Abood kuna aliyepo ofisi za mizigo opposite na ubungo plaza pale engen oil station kwa ndani kule ni mkaka maji ya kunde jina sijawahi kumkariri ana kiburi na nyodo balaa anafoka ovyo tu
Huwa hafokei watu wote anabagua wa kufokeaHuyo njaa inamsumbua unajua Watanzania wengi ni masikini na wana mzigo mkubwa wa familia unawategenea sasa mambo ya kiwa Magumu nyumbani mfano kula tu ya tabu, na Ndugu wamemuomba pesa ndiyo kuchanganyikiwa kunazidi yani ukikosea jamboree dogo bila kujua utafokewa kwa asila.
İli chadema wawasingizie ccm sio?Watu kama hao unalamba risasi tu
Wale 80 percent n ndugu wa mwenye mBasi ndioo maqnq wana jeuri mkuuWadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka mzigo.
Kilichonisikitisha, ni mzozo wao kusimamiwa na matusi kutoka kwa mbeba mizigo huyo kwenda kwa mteja huyo.
Mbeba mizigo alifikia hatua ya kumwambia mteja aulize yeye ni nani pale? Na anaweza kumfanyia kitu kibaya mteja huyo.
Mbeba mizigo huyo ni mrefu, mwembamba ana mwonekano wa 'hana cha kupoteza.'
Kisa; mteja alifika na Bajaj akitaka kushusha mzigo wake. Staff wa Ally's akamwonesha mahali pa kusimamisha Bajaj ili ashushe mzigo wake. Wakati huohuo mbeba mizigo alikuwa analiita basi litoke. Kwa hiyo Bajaj ikafunga njia. Ndipo mbeba mizigo akamuwakia mteja bila kujua mteja alielekezwa na staff.
Tanzania, asilimia kubwa ya wafanyabiashara na watoa huduma hawana elimu ya customer careWafanyakazi wa ofisi za mizigo makampuni ya mabasi ni vilaza hawajui kama hiyo mizigo ndipo kula yao ilipo hata pale Abood kuna aliyepo ofisi za mizigo opposite na ubungo plaza pale engen oil station kwa ndani kule ni mkaka maji ya kunde jina sijawahi kumkariri ana kiburi na nyodo balaa anafoka ovyo tu
Ndani kuna mdada anaitwa Rehema,ni mstarabu sana,ila nadhani alijifungua nowdaysKwa kule ndani(wanakopark mabasi) Abood yupo mkaka we unazungumzia hapo nje, wajinga sana
Ooh,nisaidie namba yake Mafwele anaiitajiWewe🤣🤣. Toka Mawasiliano-Shekilango huwa tunatoza 3k(nimekupa code kunifahamu).
Ulipofika Shekilango, ukaaambiwa mzigo haupo pale, so kufika ukanipa 5k kiroho safi.
Hii ni kama kansa tena iko stage 4Tanzania, asilimia kubwa ya wafanyabiashara na watoa huduma hawana elimu ya customer care
Yupo mwanaume kwa sasa huyo mwanamke sijawahi kumkutaNdani kuna mdada anaitwa Rehema,ni mstarabu sana,ila nadhani alijifungua nowdays
Ila mbona hawana tabu naona,cha msingi ukienda kupokea mzigo uwe na namba ya kupokelea na detail zingine.Yupo mwanaume kwa sasa huyo mwanamke sijawahi kumkuta
Hujawahi pata changamoto huwezi kuelewa,Ila mbona hawana tabu naona,cha msingi ukienda kupokea mzigo uwe na namba ya kupokelea na detail zingine.
Tatizo mtu anaenda kupokea mzigo namba ya kupokelea hana,kitambulisho hana, hapo ndio tabu inapoanzia
Sipo huko aiseeOoh,nisaidie namba yake Mafwele anaiitaji