Ally's Bus mchukulieni hatua huyu mbeba mizigo yenu pale Shekilango

Ally's Bus mchukulieni hatua huyu mbeba mizigo yenu pale Shekilango

Tanzania hii ukitaka customer care kwenye vyombo vya usafiri atleast ABC classic, kimbinyiko na Shabiby kidogo ndio wana ahueni..hao wengine bora liende tu.
Hiyo Ally's star ni kawaida kukuta dereva au konda wanapigana na abiria ndio sembuse huyo mbeba mizigo?
 
Kwenye mabasi 90% wafanyakazi wote ni vilaza anzia hadi madreva na makonda, mkata tiketi, huduma nzuri tulipata Kwa scandinavia, Zainabus, sumry ndio walikua na lugha adhimu kidogo, hayo mavilaza mengine kwenye hizo kampuni unaweza kulia, kama umehudumiwa na watu wa mabasi pale kenya na Rwanda au Uganda, Tanzania unaona hawa jamaa takataka, wanajihisi na wao ni matajiri wakati matajiri wao ni wanyenyekevu Kwa wateja
Matajiri wao hawana unyenyekevu wowote kama wana watu wa aina hiyo, labda unafiki.
 
Wafanyakazi wa ofisi za mizigo makampuni ya mabasi ni vilaza hawajui kama hiyo mizigo ndipo kula yao ilipo hata pale Abood kuna aliyepo ofisi za mizigo opposite na ubungo plaza pale engen oil station kwa ndani kule ni mkaka maji ya kunde jina sijawahi kumkariri ana kiburi na nyodo balaa anafoka ovyo tu
Huyo njaa inamsumbua unajua Watanzania wengi ni masikini na wana mzigo mkubwa wa familia unawategenea sasa mambo ya kiwa Magumu nyumbani mfano kula tu ya tabu, na Ndugu wamemuomba pesa ndiyo kuchanganyikiwa kunazidi yani ukikosea jamboree dogo bila kujua utafokewa kwa asila.
 
Huwa hafokei watu wote anabagua wa kufokea
 
Wadau za Jumapili? Jana nikiwa na ndugu yangu tulipeleka mzigo pale Shekilango kwenye ofisi za Bus la Ally's. Kulitokea sitofahamu kati ya mbeba mizigo mmoja na abiria ambaye na yeye alipeleka mzigo.
Kilichonisikitisha, ni mzozo wao kusimamiwa na matusi kutoka kwa mbeba mizigo huyo kwenda kwa mteja huyo.

Mbeba mizigo alifikia hatua ya kumwambia mteja aulize yeye ni nani pale? Na anaweza kumfanyia kitu kibaya mteja huyo.

Mbeba mizigo huyo ni mrefu, mwembamba ana mwonekano wa 'hana cha kupoteza.'

Kisa; mteja alifika na Bajaj akitaka kushusha mzigo wake. Staff wa Ally's akamwonesha mahali pa kusimamisha Bajaj ili ashushe mzigo wake. Wakati huohuo mbeba mizigo alikuwa analiita basi litoke. Kwa hiyo Bajaj ikafunga njia. Ndipo mbeba mizigo akamuwakia mteja bila kujua mteja alielekezwa na staff.
Wale 80 percent n ndugu wa mwenye mBasi ndioo maqnq wana jeuri mkuu

M ningemrekodi naondoka narudi na wasiojulikana kazionaishiahapo
 
Wafanyakazi wa ofisi za mizigo makampuni ya mabasi ni vilaza hawajui kama hiyo mizigo ndipo kula yao ilipo hata pale Abood kuna aliyepo ofisi za mizigo opposite na ubungo plaza pale engen oil station kwa ndani kule ni mkaka maji ya kunde jina sijawahi kumkariri ana kiburi na nyodo balaa anafoka ovyo tu
Tanzania, asilimia kubwa ya wafanyabiashara na watoa huduma hawana elimu ya customer care
 
Wewe🤣🤣. Toka Mawasiliano-Shekilango huwa tunatoza 3k(nimekupa code kunifahamu).

Ulipofika Shekilango, ukaaambiwa mzigo haupo pale, so kufika ukanipa 5k kiroho safi.
Ooh,nisaidie namba yake Mafwele anaiitaji
 
Yupo mwanaume kwa sasa huyo mwanamke sijawahi kumkuta
Ila mbona hawana tabu naona,cha msingi ukienda kupokea mzigo uwe na namba ya kupokelea na detail zingine.

Tatizo mtu anaenda kupokea mzigo namba ya kupokelea hana,kitambulisho hana, hapo ndio tabu inapoanzia
 
Hujawahi pata changamoto huwezi kuelewa,
 
Back
Top Bottom