Uchaguzi 2020 Aloyce Tendewa ambaye alikuwa Mlinzi wa Mwl. Nyerere na Lowassa achukua fomu ya Ubunge Kilombero

Mwaka huu ccm haina utani, kama hamjaelewa shauri yenu, uchaguzi ni huru na haki kabisa upinzani wanapigwa kihalali, majembe tupu yanawekwa huku migogoro ikiwa ni asilimia 1% tu tofauti na miaka iliyopita. Ukweli mchungu
 
Mbona upo nje ya mada sister.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…