malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Kama unatembea speed za kawaida haina shida ila kwa wale wa 120kph kwenda juu muda wowote unaacha njiaNami nipo kujifunza, japo binafsi navutiwa zaidi na Toyota Alphard kutokana na spaces yake ya ndani
Japo watu wanasemea changamoto yake ya uwepesi barabarani, wanasema ili isikusumbue barabarani vyema upakie watu wengi ama mizigo
Otherwise wanasema hazichelewi kukutupa/kupinduka
nunua Noah tu hela ikibaki utuletee chenji wana JFHabar wakuu nampango wakununua gari kwa ajili ya familia maana Nina familia ya watu 8 na huwa tunasafiri mara kwa mara mwendo km150,Sasa nahitaji gari comfortable yaenye nanafasi ninunue ipi kati ya hizo
Shukrani MkuuKama unatembea speed za kawaida haina shida ila kwa wale wa 120kph kwenda juu muda wowote unaacha njia
Shingap ya 2016Kama pesa ipo chukua ya 2016 Vellfire
Shingap ya 2016
Huku njia ya vumbi verifirre bampa lake vip na body
Chukua AlphardHuku njia ya vumbi verifirre bampa lake vip na body
Ya mwaka GaniChukua Alphard
Mfuko kama upo chini chukua ya 2006. Kama mfuko upo vizuri chukua ya 2010 mpk 2012 iwe hybridYa mwaka Gani
2010 Hadi 2012 hybrid ni shingapMfuko kama upo chini chukua ya 2006. Kama mfuko upo vizuri chukua ya 2010 mpk 2012 iwe hybrid
Boss unadeka sana Kila kitu utafuniwe2010 Hadi 2012 hybrid ni shingap
Speed 120 unaacha njia kivipi? Usiandike vitu kwa hisia zako ama u-leaner ama ubovu wa gari yako, kuna uhusiano upi wa alphard speed 120 na kuacha njia?Kama unatembea speed za kawaida haina shida ila kwa wale wa 120kph kwenda juu muda wowote unaacha njia