Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hao jamaa hawana cha raia mwema wala nani ......unapotea hivi hivi kama ni mshamba🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nimecheka sana, hivi kwanini ukimbie kama wewe ni raia mwema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao jamaa hawana cha raia mwema wala nani ......unapotea hivi hivi kama ni mshamba🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nimecheka sana, hivi kwanini ukimbie kama wewe ni raia mwema?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, hivi kwanini ukimbie kama wewe ni raia mwema?
TOKA MAKTABA :KURUPUSHANI za mtandao wa the Tanzania Students Networking Programme (TSNP), known for advocating and supporting the role of human rights defenders in public life and civil society at large.
According to the information received, on June 3, 2017, TSNP was informed by the owners of the Blue Pearl Hotel that they could not enter without a permission letter from the police the venue of a book launch event scheduled to take place at the Ubungo Plaza, Blue Pearl Hotel to present Sauti ya Watetezi wa Haki Vyuoni (The Voice of Human Rights Defenders in Universities), a book that illustrates the harassment tactics used to remove human rights defenders from positions in higher education institutions in Tanzania, authored by Alphonce Lusako [1], the General Secretary of TSNP......https://www.fidh.org/en/issues/human-rights-defenders/tanzania-attemps-to-hinder-book-launch-event-and-arbitrary-arrest-of
Ni mwanaharakati,yuko cdm pia,ile ushu ya okoa bandari alikuwa mstari wa mbele sanaHuyo ndio nani?
Usikimbilie kuhukumu. Hawa polisi wetu ambao mara nyingi hafanyi kazi kwa kufuata sheria bali kwa maelekezo, siyo wakati wote wanaodhuriwa huwa ni waovu. Hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari hata kama huna hatia. Angalia namna walivyokuja.
Polisi ambao wanafuata taratibu, wanapoenda kumkamata mhalifu huwa wanaenda na kiongozi wa eneo husika ili awe shuhuda wa lolote litakalotokea, labda kama anayeenda kukamatwa ni mtu hatari, au kuchelewa kidogo kunaweza kumfanya mhalifu aponyoke.
OMAKama sio mwalifu kwann ukimbie?
Swali zuri, nasubiri majibu.Huyo ndio nani?
Unazifahamu elements za mtu ku qualify ili aitwe gaidi?Si kasema walikuwa wanamtafuta Gaidi, hivi Gaidi sio mtu hatari sana, sasa ulitegemea polisi waje kama wanakwenda kanisani, Gaidi lazima uende kijeshi na kikatili sana, Gaidi ni mtu hatari sana, polisi wetu lazima wao pia wajihami ni binadamu pia, hivi Gaidi unamchukulia kama kibaka? Hapa polisi wamesema wazi wazi wamefika kumsaka Gaidi, sasa ukikimbia tayari umeonyesha wewe ndio mshukiwa au wewe ndio unayetafutwa, na huenda ukapigwa risasi ikawa mwisho wa maisha yako, polisi wakifika mahali kutafuta mhalifu toa ushirikiano acha ujuaji au kukimbia, ikiwa huna shaka wala sio mshukiwa kwanini unakimbia? Nashauri acha kabisa kukimbia polisi utapoteza maisha ukijiona, ushaambiwa mko chini ya ulinzi, alafu unakimbia? Kweli, ana bahati sana huyu, angekuwa leo hatuko nae.
Jamaa siyo muoga hata kidogoUfanyaji kazi wa kienyeji sana wa vyombo vya dola. Na watanzania kukaa kimya pale wenzao wanapokamatwa hawajui kesho inaweza kuwa zamu yako na watu wataendelea kukaa kimya ktk uzi huu
TOKA MAKTABA
View attachment 2956457
Picha: mwanaharakati Alphonce Lusako mtetezi wa haki za binadamu na utawala bora (alumni Tumaini university of Dar es salaam. Bachelor of Laws - LLB International Law and Legal Studies) former Secretary General of TSNP, which is the NGO registered to function in Tanzania Mainland dealing with Students Rights and Welfare.
View attachment 2956467
HARAKATI ZA TSNP MIAKA ILIYOPITA
TOKA MAKTABA :
Waasi wa M23/AFC walalamika Tanzania kumkamata kiongozi wao aitwae Eric Nkuba na kumkabidhi kwa Serikali ya DRC
Waasi hao walalamika kuwa Bwana Eric Nkuba alikamatwa katika uwanja wa JK International Airport Dar es Salaam. Mamalaka za Tanzania zilimkabidhi jamaa huyo kwa mamlaka za DRC na huko jamaa kashughulikiwa vibaya na kutema siri zote za waasi hao. Pia ametaja Rais Msitafu J. kabila ni mfadhili wa...www.jamiiforums.com
Ndio maana wamemfuata tena.Ni yeye