Alphonce Lusako: Nimenusurika kutekwa kwa madai ya kuwa Gaidi, sasa namuachia Mungu suala la usalama wangu

Alphonce Lusako: Nimenusurika kutekwa kwa madai ya kuwa Gaidi, sasa namuachia Mungu suala la usalama wangu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana, hivi kwanini ukimbie kama wewe ni raia mwema?

Usikimbilie kuhukumu. Hawa polisi wetu ambao mara nyingi hafanyi kazi kwa kufuata sheria bali kwa maelekezo, siyo wakati wote wanaodhuriwa huwa ni waovu. Hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari hata kama huna hatia. Angalia namna walivyokuja.

Polisi ambao wanafuata taratibu, wanapoenda kumkamata mhalifu huwa wanaenda na kiongozi wa eneo husika ili awe shuhuda wa lolote litakalotokea, labda kama anayeenda kukamatwa ni mtu hatari, au kuchelewa kidogo kunaweza kumfanya mhalifu aponyoke.
 
Ufanyaji kazi wa kienyeji sana wa vyombo vya dola. Na watanzania kukaa kimya pale wenzao wanapokamatwa hawajui kesho inaweza kuwa zamu yako na watu wataendelea kukaa kimya ktk uzi huu

TOKA MAKTABA

1712488760398.png

Picha: mwanaharakati Alphonce Lusako mtetezi wa haki za binadamu na utawala bora (alumni Tumaini university of Dar es salaam. Bachelor of Laws - LLB International Law and Legal Studies) former Secretary General of TSNP, which is the NGO registered to function in Tanzania Mainland dealing with Students Rights and Welfare.
1712489203381.png

HARAKATI ZA TSNP MIAKA ILIYOPITA
KURUPUSHANI za mtandao wa the Tanzania Students Networking Programme (TSNP), known for advocating and supporting the role of human rights defenders in public life and civil society at large.

According to the information received, on June 3, 2017, TSNP was informed by the owners of the Blue Pearl Hotel that they could not enter without a permission letter from the police the venue of a book launch event scheduled to take place at the Ubungo Plaza, Blue Pearl Hotel to present Sauti ya Watetezi wa Haki Vyuoni (The Voice of Human Rights Defenders in Universities), a book that illustrates the harassment tactics used to remove human rights defenders from positions in higher education institutions in Tanzania, authored by Alphonce Lusako [1], the General Secretary of TSNP......https://www.fidh.org/en/issues/human-rights-defenders/tanzania-attemps-to-hinder-book-launch-event-and-arbitrary-arrest-of
TOKA MAKTABA :
 
Usikimbilie kuhukumu. Hawa polisi wetu ambao mara nyingi hafanyi kazi kwa kufuata sheria bali kwa maelekezo, siyo wakati wote wanaodhuriwa huwa ni waovu. Hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari hata kama huna hatia. Angalia namna walivyokuja.

Polisi ambao wanafuata taratibu, wanapoenda kumkamata mhalifu huwa wanaenda na kiongozi wa eneo husika ili awe shuhuda wa lolote litakalotokea, labda kama anayeenda kukamatwa ni mtu hatari, au kuchelewa kidogo kunaweza kumfanya mhalifu aponyoke.

Si kasema walikuwa wanamtafuta Gaidi, hivi Gaidi sio mtu hatari sana, sasa ulitegemea polisi waje kama wanakwenda kanisani, Gaidi lazima uende kijeshi na kikatili sana, Gaidi ni mtu hatari sana, polisi wetu lazima wao pia wajihami ni binadamu pia, hivi Gaidi unamchukulia kama kibaka? Hapa polisi wamesema wazi wazi wamefika kumsaka Gaidi, sasa ukikimbia tayari umeonyesha wewe ndio mshukiwa au wewe ndio unayetafutwa, na huenda ukapigwa risasi ikawa mwisho wa maisha yako, polisi wakifika mahali kutafuta mhalifu toa ushirikiano acha ujuaji au kukimbia, ikiwa huna shaka wala sio mshukiwa kwanini unakimbia? Nashauri acha kabisa kukimbia polisi utapoteza maisha ukijiona, ushaambiwa mko chini ya ulinzi, alafu unakimbia? Kweli, ana bahati sana huyu, angekuwa leo hatuko nae.
 
Pole Sana Lusako, wameanza siku nyingi kukusaka lakini Mungu yuko upande wako. Tangu 2011 kwenye sakata la UDSM Hadi ulipomburuza Mkandala mahakamani watu hawajawahi kuchoka kukutafuta.
 
Safari ndefu ya mapito yake mwanaharakati Alphonce Lusako ameyaweka katika Kitabu :

SAFARI NDEFU YA KITAALUMA: LONG WALK TO ACADEMIC JUSTICE​

1712491157433.png

Mtawala yeyote duniani, anayekunyima haki yako ya Elimu katika Udongo wa Taifa lako, nisawa na amekupiga risasi Ukafa, Ukapotea duniani. Hunabudi kupambana naye vita ya kufa ili upate elimu husika.

Ipo siku Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) Watatambua Mchango wangu katika kulipigania Taifa.

Sina cha kupoteza, Historia inandikwa. Ni bora nimuenzi Hayati Christopher Mtikila kuliko ukimya utaozalisha Vijana mazwazwa Tanzania ”. Malengo ya Kitabu hiki ni Kuwatia ujasiri watu wote wanaopigania ndoto zao wapitapo katika changamoto mbalimbali na kuwahamasisha kutokuwa na msamiati wa kukata tama katika mapito yao.

Kitabu hiki kinatoa mwangaza kwa binadamu yoyote mwenye ndoto kubwa, ambaye anakumbana na Vikwazo katika safari yake ya kupigania ndoto yake.

Kitabu kinahimiza kutotishwa na majaribu unayoyapitia, kuamini kwamba nyakati ngumu haziishi ila watu hodari hushinda(Tough times never Last but tough people do) na kuyachukulia kama fursa au mtaji wa kufuzu ndoto yako.

Vile Vile kitabu kinalengo la kuamsha ari na hamasa ya wanavyuo katika kutetea haki zao na za taifa kwa ujumla wake, bila kutetereka kwa njia halali za kisheria, ikiwemo maandamano na migomo ya amani katika kushinikiza upatikanaji wa haki
 
Acheni uzuzu basi! Tanguli lini tena Magufuli kaanza kazi tena?

Si tulikubaliana na kuhitimisha kwamba, hakuna utekaji tena?

Huu upupu mnautoa wapi?
 
Si kasema walikuwa wanamtafuta Gaidi, hivi Gaidi sio mtu hatari sana, sasa ulitegemea polisi waje kama wanakwenda kanisani, Gaidi lazima uende kijeshi na kikatili sana, Gaidi ni mtu hatari sana, polisi wetu lazima wao pia wajihami ni binadamu pia, hivi Gaidi unamchukulia kama kibaka? Hapa polisi wamesema wazi wazi wamefika kumsaka Gaidi, sasa ukikimbia tayari umeonyesha wewe ndio mshukiwa au wewe ndio unayetafutwa, na huenda ukapigwa risasi ikawa mwisho wa maisha yako, polisi wakifika mahali kutafuta mhalifu toa ushirikiano acha ujuaji au kukimbia, ikiwa huna shaka wala sio mshukiwa kwanini unakimbia? Nashauri acha kabisa kukimbia polisi utapoteza maisha ukijiona, ushaambiwa mko chini ya ulinzi, alafu unakimbia? Kweli, ana bahati sana huyu, angekuwa leo hatuko nae.
Unazifahamu elements za mtu ku qualify ili aitwe gaidi?
 
Ufanyaji kazi wa kienyeji sana wa vyombo vya dola. Na watanzania kukaa kimya pale wenzao wanapokamatwa hawajui kesho inaweza kuwa zamu yako na watu wataendelea kukaa kimya ktk uzi huu

TOKA MAKTABA

View attachment 2956457
Picha: mwanaharakati Alphonce Lusako mtetezi wa haki za binadamu na utawala bora (alumni Tumaini university of Dar es salaam. Bachelor of Laws - LLB International Law and Legal Studies) former Secretary General of TSNP, which is the NGO registered to function in Tanzania Mainland dealing with Students Rights and Welfare.
View attachment 2956467
HARAKATI ZA TSNP MIAKA ILIYOPITA

TOKA MAKTABA :
Jamaa siyo muoga hata kidogo
 
Back
Top Bottom