joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Habari ndio hiyoKwa muda mrefu nimekuwa nikijiuluza kati yako na Geza ni nani wazimu zaidi. Geza Ulole ana wivu na Kenya lakini hana roho mbaya kama yako. Huna ubinadamu
Mabingwa wa elimu aheraHii amri inafuatia baada ya Wizara ya elimu ya Kenya kuwaondoa waalimu wote ambao sio wazawa kutoka hivyo kusababibasha upungunfu mkubwa wa waalimu ktk eneo hilo kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara toka kwa Alshabaab dhidi yao.Al-Shabaab orders non-locals to leave northeastern Kenya "immediately" amid teachers' crisis
Breaking News, Latest News and Top News from operanewsapp.com. Breaking news and video. News Today: tz, Politics, Sports, Entertainment, Tech, Businesswww.operanewsapp.com
Baada ya kuona kwamba wamefanikiwa katika kusambaratisha sekta ya Elimu, wameamua kupanua wigo na malengo yao, sasa hivi wanalenga watu wote ambao sio wazawa /wakristo, hii ikifanikiwa ni wazi kwamba uchumi wa eneo hili utasambaratika kabisa na itakua rahisi sana kwao kupata wafuasi na kuzidi kujiimarisha.
What is Sectarianism?Tribalism ama sectarianism?
Low IQ fool tumia Google.What is Sectarianism?
Tatizo la sisi ndo hili, haribifu ni uharibifu tu. Kuwahifadhi simply ni ndugu zao ni kuwafanya hao raia wote kuwa wahalifu. Washughulikiwe kama wahalifu tu au wahamie Somalia. Hapa bado naona umuhimu wa kuweka kambi ya jeshi haswa ukizingati risasi haina macho.Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Yaani unamaanisha Alshabab wanawapangia Wakenya wapi waishi na wapi wasiishi ndani ya nchi huru ya Kenya??
Hii ni dharau kubwa kwa jeshi letu imara la KDF ambalo lina kiapo cha kulinda mipaka yetu kwa gharama ya jasho na damu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hell no nijiapate kati ya slum pale Kibera!Matusi ya nini na kila mtu anajua una wivu na Kenya? Ungependa kuzaliwa Mkenya lakini kwa bahati mbaya ukazaliwa Mbongo.
Si lazima iwe Kibera. Unaweza ishi Lavington pia.hell no nijiapate kati ya slum pale Kibera!
Hapana, ambao sio wazawa wa Kaskazini mashariki mwa Kenya, kwa kifupi wanawalenga wakristo. Hao waalimu wanaouliwa ni wale wanaotoka nje ya hilo eneo, wanawajua kiurahisi kwasababu sio waislam, hawawezi kusoma hata mstari mmoja wa" Quran" kwa kichwa
Google ndio nini?Low IQ fool tumia Google.
Hata mimi ninashangaa sana, yaani wizara ya elimu inawaondoa waalimu badala ya serikali kuimarisha ulinzi, Kenya bajeti ya ulinzi ni kubwa sana karibu mara mbili ya Tanzania, lakini vyombo vya ulinzi vimeshindwa kabisa kuzuia mashambulizi ya Alshabaab ndani ya Kenya, Alshabaab wanashambulia na kuingia katika ardhi ya Kenya vile wapendavyo, hapo ndio wakenya wanapaswa kujua kwamba taarifa za kwenye makaratasi ni tofauti na hali halisi.
Nyie hamjawahi pambana na magaidi kwa hivyo hamuwezi zungumza katika meza ya wazee. Mtapewa ruhusa ya kuzungumza punde tu mtakapoanza kupambana na shabab au boko haram au Isis au al qaeeda. Nyie endeleeni kupambana na rebels wa DR Congo.
Marekani mwenyewe ameshindwa kumuangamiza Taliban sasa Kesho atapiga mkataba na Taliban ili kusitisha uhasama.
Bajeti ya US ya ulinzi na usalama ni karibu mara 1000 ya Kenya, lakini wameshindwa kuzuia mass shootings.
Kila siku mbili mass shooting.
Tanzania mkienda vita dhidi ya hata Burundi mnaweza nyoroshwa kama mbwa.
Al shabab haina conventional army. Wanajificha kwa raia wa kawaida.
Aise, kwa iyo ile portion yote ya Kenya mumewaachia al shabab na Somalians, and why should they link up well with shababs ilhali ni wakenya. Nyie kule kaskazini mtamegewa tu.Watu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
We huijui Tz, unyamaze tu.Bajeti ya US ya ulinzi na usalama ni karibu mara 1000 ya Kenya, lakini wameshindwa kuzuia mass shootings.
Kila siku mbili mass shooting.
Tanzania mkienda vita dhidi ya hata Burundi mnaweza nyoroshwa kama mbwa.
Al shabab haina conventional army. Wanajificha kwa raia wa kawaida.
Sasa unaona hilo ndilo JawabuWatu wenyewe wazawa wa hapo wanawapa hifadhi alshabab kwa sababu wanaongea lugha moja na wanafanana. Wacha wakose waalimu ili washike adabu. Hatutaendelea kupoteza Wakenya ilhali wenyeji wanawaruhusu shabab kuishi miongoni mwao. Every action has an equal and opposite reaction.
Hahaha, kwanza ninaomba usitumie neno US, badala yake tumia neno "Mungu wa wakenya", kila kitu lazima utafute uhalali kwa kujilinganisha na Mungu wenu USA, ndio sababu wakenya wengi wanaume huolewa na wamarekani.Bajeti ya US ya ulinzi na usalama ni karibu mara 1000 ya Kenya, lakini wameshindwa kuzuia mass shootings.
Kila siku mbili mass shooting.
Tanzania mkienda vita dhidi ya hata Burundi mnaweza nyoroshwa kama mbwa.
Al shabab haina conventional army. Wanajificha kwa raia wa kawaida.
Hamjawahi kupambana nao. Wacha uongo.Siyo atujapambana na ugaidi bali sisi tumeushinda ugaidi ndio maana kabla ya kufanya shambulio tunawapeleka kuzimu fast
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomali ni wababe kuwashinda. Wangekuwa wanalala na wake zenu. Ila sie tunapasua vichwa vyao wanatokomea kuzimu.Yani tumshukuru Mungu hatuna mpaka wa ardhini na Somalia maana ubabe wao kiukweli unatisha