Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

Alshabaab waaamuru watu wote ambao si wazawa kuondoka katika eneo lote la Kaskazini mashariki mwa Kenya

"Economic inclusiveness" ya kurundika kwenye lindi la ufukara!
Does that make you proud? CCM kweli ni janga!
Hahahaha, waulize hao UN waliochapisha hizo data, kumbuka kwamba Tanzania hakuna slums, njaa, lowest unemployment rate, kila mtu ana ardhi ya kutosha kwa mahitaji yake, maji ya kutosha. Hiyo ndio maana ya Economic inclusivity

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni mjinga hajui Alshabaab wakiingia kenya next ni Tanzania,So shukuru Mungu border yenu haishikani na Hawa watu,hawa watu ni wanyama ndo maana niuomba tu siku moja watolewe kenya wote
Mbona Ethiopia imeshikana na Somalia lakini haishambuliwi?, Kenya ni wazembe na ni dhahifu sana katika ulinzi, acha upumbavu wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom