joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #61
Hahahaha, waulize hao UN waliochapisha hizo data, kumbuka kwamba Tanzania hakuna slums, njaa, lowest unemployment rate, kila mtu ana ardhi ya kutosha kwa mahitaji yake, maji ya kutosha. Hiyo ndio maana ya Economic inclusivity"Economic inclusiveness" ya kurundika kwenye lindi la ufukara!
Does that make you proud? CCM kweli ni janga!
Half of Tanzanians living in ‘multidimensional poverty’Hahahaha, waulize hao UN waliochapisha hizo data, kumbuka kwamba Tanzania hakuna slums, njaa, lowest unemployment rate, kila mtu ana ardhi ya kutosha kwa mahitaji yake, maji ya kutosha. Hiyo ndio maana ya Economic inclusivity
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio tatitozo lako sikulaumu sana, mfumo wenu wa elimu umetilia msisitizo katika maeneo matatuHalf of Tanzanians living in ‘multidimensional poverty’
Propaganda zako peleka kwenye majukwaa yenu humo. Hapa watu wana akili za jomba!
Tusiyafurahie haya mambo hata kidogo.Hahahaha, andaeni makaburi" next week" Alshabaab wanachinja wakenya kama kumi na mbili.
Huyu ni mjinga hajui Alshabaab wakiingia kenya next ni Tanzania,So shukuru Mungu border yenu haishikani na Hawa watu,hawa watu ni wanyama ndo maana niuomba tu siku moja watolewe kenya woteTusiyafurahie haya mambo hata kidogo.
Poleni majirani.
Mbona Ethiopia imeshikana na Somalia lakini haishambuliwi?, Kenya ni wazembe na ni dhahifu sana katika ulinzi, acha upumbavu wakoHuyu ni mjinga hajui Alshabaab wakiingia kenya next ni Tanzania,So shukuru Mungu border yenu haishikani na Hawa watu,hawa watu ni wanyama ndo maana niuomba tu siku moja watolewe kenya wote