joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kama kawaida, Alshabaab wadhihirisha umwamba kwa KDF baada ya kushambulia Hotel maarufu mjini Kismayu ambao upo chini ya ulinzi wa jeshi dhahifu la Kenya KDF, shambulio lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 30 wakiwemo wanahabari wa mataifa mbalimbali.
Pia imesababisha majeruhi zaidi ya 50 wakiwemo raia wa nchi tukufu ya Tanzania. Ikumbukwe kwamba hii sio Mara ya kwanza wala Mara ya pili kwa Alshabaab kuwadhalilisha KDF kwa kufanya mashambulizi vile wapendavyo kwa wakati wowote wanapojisikia, iwe ndani ya Kenya, katika kambi za KDF huko Somalia, au katika maeneo yaliyochini ya KDF huko Somalia.
Udhahifu wa KDF kushindwa kulinda maisha ya raia sio tu unazidi kuleta hofu na wasiwasi ndani ya Kenya, bali hats nje ya Kenya. Miaka minne iliyopita kikosi cha kulinda amani cha KDF kilichopelekwa South Sudan, kilishindwa kulinda raia jambo lililosababisha karibu MKUU wa UN kipindi hicho Bwana Ban Kin-Mon, kumfurusha kama wa Kenya aliyekabidhiwa jukumu hilo jambo lililosababisha wakenya kususa na kuondoa wanajeshi wao goigoi waliokuwa wakilipwa pesa na UN wakati hawajafikia viwango vya kuwa katika vikosi vya UN.