Alshabaab wawadhalilisha tena KDF, washambulia katikati ya Kismayu

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Kama kawaida, Alshabaab wadhihirisha umwamba kwa KDF baada ya kushambulia Hotel maarufu mjini Kismayu ambao upo chini ya ulinzi wa jeshi dhahifu la Kenya KDF, shambulio lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 30 wakiwemo wanahabari wa mataifa mbalimbali.

Pia imesababisha majeruhi zaidi ya 50 wakiwemo raia wa nchi tukufu ya Tanzania. Ikumbukwe kwamba hii sio Mara ya kwanza wala Mara ya pili kwa Alshabaab kuwadhalilisha KDF kwa kufanya mashambulizi vile wapendavyo kwa wakati wowote wanapojisikia, iwe ndani ya Kenya, katika kambi za KDF huko Somalia, au katika maeneo yaliyochini ya KDF huko Somalia.

Udhahifu wa KDF kushindwa kulinda maisha ya raia sio tu unazidi kuleta hofu na wasiwasi ndani ya Kenya, bali hats nje ya Kenya. Miaka minne iliyopita kikosi cha kulinda amani cha KDF kilichopelekwa South Sudan, kilishindwa kulinda raia jambo lililosababisha karibu MKUU wa UN kipindi hicho Bwana Ban Kin-Mon, kumfurusha kama wa Kenya aliyekabidhiwa jukumu hilo jambo lililosababisha wakenya kususa na kuondoa wanajeshi wao goigoi waliokuwa wakilipwa pesa na UN wakati hawajafikia viwango vya kuwa katika vikosi vya UN.
 
KDF ni aibu kubwa..Yaani tu kama amri jeshi mkuu wake👇👇👇
54522889_1802445593195202_6407695003488878592_n.jpg
 
Aisee yaani unashangilia watu kufa! Kweli dini hizi ni moja ya upumbavu unaosumbua binadamu hadi sasa.
 
Aisee, mtanzania anafurahia vifo vya watanzania wenzake. Hizi ndio zile zile akili ambazo zilitumiwa kuwaambia wananchi wazaane ili uchumi uimarike. Wanaccm katika ubora wao.
Wale ni watanzania au wasomali walolowea Tanzania?? Mbona mnatuchanganya
 
Huyu joto jiwe is one of the biggest idiots tanzania has ever produced, the rest are the usual suspects
 
It has been a record 7yrs of uninterrupted peace in Kismayu give credit where is due.
Kwanini hatukuoni ukipost zile bombings zi u happen Mogadishu karibu Kila wiki?
Kweli kabisa Kismaayo kuna afueni, sio kama Ugandishu. Huko mabomu huwa yanalipuka kila uchao na hutawasikia wakisema kwamba vikosi vya UPDF ni dhaifu.
 
Back
Top Bottom