Alshabaab wawadhalilisha tena KDF, washambulia katikati ya Kismayu

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Na akiguswa utwajua km wao ni akina nani...bwahahahaa...muiteni IG wa somalia mpeleke polisi km vile msumbuji au jwtz wakawasake alshabab km mnaubavu huo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nangoja kauli ya magu
 
Kupigana na watu ambao hawana jeshi ni kazi sana,hujui adui ni nani na raia mwema ni nani!Ubalozi wa kenya,uganda na tz ulilipuliwa sikumbuki mwaka lakini kati ya sehemu zinalindwa ni ubalozini.Poleni ndugu zetu kwa kufikwa na umauti.Mungu awape kauli Thabit,awasamehe dhambi zenu na awarehemu.
 
Bwahahaaa..imekuuma...meanwhile..tunangoja marejesho ya makomando kuvuka boader....mko huru pitieni kenya mkawatafute alshabab[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
What is Juba land?. KDF is the weakest army in East and Central Africa.
 
Inaonekana hujui unachozungimza, Alshabaab, Boko haram, ISIS, Taliban, wote wana majeshi rasmi yenye Uniforms na silaha kubwa kubwa, na maeneo wabayoshilikilia, Alqaeda pekee ndio hawakuwa na jeshi.

Unadhani hizo kambi za Kenya na Burundi zilizosambaratishwa, hizo silaha kubwa kubwa na MAGARI ya kivita yaliyotekwa na Alshabaab vinatumiwa na kina nani?. Tofauti ni mbinu za vita wanayotumia ni "Gorilla technique", ndiyo inayowashinda hawa KDF.
 
Bwahahaaa..imekuuma...meanwhile..tunangoja marejesho ya makomando kuvuka boader....mko huru pitieni kenya mkawatafute alshabab[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Taarifa tulizonazo ni kwamba huyo mtanzania ni msomali aliyekuwa anaishi na kufanya biashara Tanzania kwa muda mrefu, inasemekana alikua amesharudi Somalia baada ya biashara zake huku Tanzania kuyumba.
 
Sawa kwa ku recruit!
 
And what is all your excitement and celebration about!
 
Stratergy ya Uhuru Mwigai inafanya Kazi Alshababu na Wasomali wenzao walipuane kweye Ardhi yao ili Ndugu zetu Wakenya walale usingizi mnono.
 
Aaaaweeee!!!mmeshanza kuogopa tayari.....ccm propaganda...mkulu kaona operation somalia si size yenu..anajua kilichotokea congo...mapanga reloaded[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Taarifa tulizonazo ni kwamba huyo mtanzania ni msomali aliyekuwa anaishi na kufanya biashara Tanzania kwa muda mrefu, inasemekana alikua amesharudi Somalia baada ya biashara zake huku Tanzania kuyumba.
 
Hao watanzania walienda kufanya nini huko kwa magaidi?
 
Jinga takataka la mtu ashabikiaye maafa ya wenzake.
Bure kabisa bloody fool!
Ushindwe na ulegee
Wajiita jiwe la kinyesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…