joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Very weak KDF, stupid.Huyu joto jiwe is one of the biggest idiots tanzania has ever produced, the rest are the usual suspects
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very weak KDF, stupid.Huyu joto jiwe is one of the biggest idiots tanzania has ever produced, the rest are the usual suspects
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Kama kawaida, Alshabaab wadhihirisha umwamba kwa KDF baada ya kushambulia Hotel maarufu mjini Kismayu ambao upo chini ya ulinzi wa jeshi dhahifu la Kenya KDF, shambulio lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 30 wakiwemo wanahabari wa mataifa mbalimbali.
Pia imesababisha majeruhi zaidi ya 50 wakiwemo raia wa nchi tukufu ya Tanzania. Ikumbukwe kwamba hii sio Mara ya kwanza wala Mara ya pili kwa Alshabaab kuwadhalilisha KDF kwa kufanya mashambulizi vile wapendavyo kwa wakati wowote wanapojisikia, iwe ndani ya Kenya, katika kambi za KDF huko Somalia, au katika maeneo yaliyochini ya KDF huko Somalia.
Udhahifu wa KDF kushindwa kulinda maisha ya raia sio tu unazidi kuleta hofu na wasiwasi ndani ya Kenya, bali hats nje ya Kenya. Miaka minne iliyopita kikosi cha kulinda amani cha KDF kilichopelekwa South Sudan, kilishindwa kulinda raia jambo lililosababisha karibu MKUU wa UN kipindi hicho Bwana Ban Kin-Mon, kumfurusha kama wa Kenya aliyekabidhiwa jukumu hilo jambo lililosababisha wakenya kususa na kuondoa wanajeshi wao goigoi waliokuwa wakilipwa pesa na UN wakati hawajafikia viwango vya kuwa katika vikosi vya UN.
Dhaifu ni wale waliokatwa kw mapanga na watoto wadogoThe topic is about weak KDF, R.I.P innocent lives lost under protection of weak and stupid KDF.
What is Juba land?. KDF is the weakest army in East and Central Africa.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1152707
KDF ni aibu kubwa..Yaani tu kama amri jeshi mkuu wake[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1152526
Kuna wengine hawajitambui na wanashindwa kutofautisha kati ya ubinadamu na unyama.DUUUUUUU. TOFAUTI YA KENYA NA TANZANIA NI MIPAKA TU.
What is Juba land?. KDF is the weakest army in East and Central Africa.
Uhai wa binadamu asiye na hatia una thamani kuliko kitu chochote. Uwe uhai wa Mtanzania, Msomali au Mkenya.Wale ni watanzania au wasomali walolowea Tanzania?? Mbona mnatuchanganya
Inaonekana hujui unachozungimza, Alshabaab, Boko haram, ISIS, Taliban, wote wana majeshi rasmi yenye Uniforms na silaha kubwa kubwa, na maeneo wabayoshilikilia, Alqaeda pekee ndio hawakuwa na jeshi.Kupigana na watu ambao hawana jeshi ni kazi sana,hujui adui ni nani na raia mwema ni nani!Ubalozi wa kenya,uganda na tz ulilipuliwa sikumbuki mwaka lakini kati ya sehemu zinalindwa ni ubalozini.Poleni ndugu zetu kwa kufikwa na umauti.Mungu awape kauli Thabit,awasamehe dhambi zenu na awarehemu.
Taarifa tulizonazo ni kwamba huyo mtanzania ni msomali aliyekuwa anaishi na kufanya biashara Tanzania kwa muda mrefu, inasemekana alikua amesharudi Somalia baada ya biashara zake huku Tanzania kuyumba.Bwahahaaa..imekuuma...meanwhile..tunangoja marejesho ya makomando kuvuka boader....mko huru pitieni kenya mkawatafute alshabab[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Sawa kwa ku recruit!Inaonekana hujui unachozungimza, Alshabaab, Boko haram, ISIS, Taliban, wote wana majeshi rasmi yenye Uniforms na silaha kubwa kubwa, na maeneo wabayoshilikilia, Alqaeda pekee ndio hawakuwa na jeshi.
Unadhani hizo kambi za Kenya na Burundi zilizosambaratishwa, hizo silaha kubwa kubwa na MAGARI ya kivita yaliyotekwa na Alshabaab vinatumiwa na kina nani?. Tofauti ni mbinu za vita wanayotumia ni "Gorilla technique", ndiyo inayowashinda hawa KDF.
And what is all your excitement and celebration about!Inaonekana hujui unachozungimza, Alshabaab, Boko haram, ISIS, Taliban, wote wana majeshi rasmi yenye Uniforms na silaha kubwa kubwa, na maeneo wabayoshilikilia, Alqaeda pekee ndio hawakuwa na jeshi.
Unadhani hizo kambi za Kenya na Burundi zilizosambaratishwa, hizo silaha kubwa kubwa na MAGARI ya kivita yaliyotekwa na Alshabaab vinatumiwa na kina nani?. Tofauti ni mbinu za vita wanayotumia ni "Gorilla technique", ndiyo inayowashinda hawa KDF.
Taarifa tulizonazo ni kwamba huyo mtanzania ni msomali aliyekuwa anaishi na kufanya biashara Tanzania kwa muda mrefu, inasemekana alikua amesharudi Somalia baada ya biashara zake huku Tanzania kuyumba.