Alshabaab wawadhalilisha tena KDF, washambulia katikati ya Kismayu

Jambo gumu sana
 
Today I have confirmed that you have cowdung in between your ears. Among the dead are Tanzanians and you are here celebrating ND farting around foolishly. Bluh
Hahahaha, don't derail this subject in order to conceal weakness of KDF. The subject is about weakness of your stupid army, not about those deaths, unfortunately our citizens found themselves under crossfire but they were not targets.
 
Kipi kibaya alichoandika?
Lengo lao ni kutaka kuwatoa watu wasijadili udhahifu wa jeshi lao ambalo linazidi kudhihirisha udhahifu wake kila siku, bahati mbaya kuna mitanzania mipumbavu haina akili wanaingia katika huo mtego wao.

Hawa wakenya wamezidi kujisifia sana, inapotokea mambo kama haya yanayowaumbua, huwa haraka sana wanatafuta jinsi ya kupindisha mada.
 
 
Watanzania hatuko kama huyu mjinga mmoja. Jeshi la Kenya linastahili pongezi kwa kujitoa kuilinda Kenya na Wasomali
Pumbavu wewe huwezi kuwa mtanzania, inawezekana mama yako alichipuka na mkenya ndio ukazaliwa wewe, haiwezekani baba wa kitanzania akazaa jitu jinga kama wewe.
 
Mmeshamuita IG wa somalia ili kupeleka makomando...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unataka moderators wakushikishe ukuta?, hawana shida na wewe, wote wapo katika ndoa halali.
 
Watanzania watatu wameuliwa..pelekeni makomando km mlivyofanya msumbiji...mi nangoja hzo taarifa...IG wa somalia aitwe makomando waende wakawatafyte alshabab[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Subutu[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Achaga ubishi yule mmiliki wa city garden msomali pure
 
Ushabiki wa kipuuzi mnaupeleka kwenye suala linalohusu maisha ya binadamu.

Mpumbavu wewe
 
Weak KDF ndio tatizo, pumbavu ni KDF na mzazi wako wa like, stupid.
I know you don't have brain but don't worry you will still survive. Even Jellyfish have survived for 600 million years without brain.
 
Hahahaha, weak KDF is the reason for your pain.
I know you don't have brain but don't worry you will still survive. Even Jellyfish have survived for 600 million years without brain.
 

Mambo ya ugaidi ni janga la taifa, hakuna sababu yeyote ya kusifia wanayotekeleza kwa namna yeyote, labda wewe uwe mmoja wapo kwa siri.
Hayo yaliyotokea yanawezatokea nchi yeyote Duniani.
 
Punguza dhihaka ndugu,mshukuru Mungu tuko hayo hayatokei kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…