Una akili sana[emoji848]Aisee mi ukiniomba tu nipachike rungu huko na shughuli inaishia hapo! Sina hizo guts
Acha uzungu uzungu wewe...hapo hapo ulipo kimbiaTaking it positively...thank you
Haaahaaa haaahaaaMkuu
Wanawake ni waongo sana,ada hajalipa popote,nyumba hajajenga popote wala chakula hajalisha popote
Wanawake wanapenda ku-exxagrate sana their strenghts ili kumshusha huyo mwanaume
Siku mwanamke analeta nyama nyumba ndo inakakariwa yeye ndio analisha nyumba siku zote
Sipo hapa kumteta huyo jamaa au kufurahia tatizo la huyu dada,hapana,huenda ni kweli ila maelezo ya wanawake hua nachanganyaga na akili zangu mwenyewe sichukui kama msahafu
Narudia kusema...kama ni kweli usemacho, basi una akili sana!Ofcourse its completely immoral to me kabla hata sijaiweka kwenye mizania ya dini
Punguza ukali...maliza moja kwanza, maana ni zito balaa[emoji848]Usiwe negative sanaaa...kama uliwahi kushauri watu and never picked your advise(usi generalize). We are different binadamu..
Ya Mrs.Status gani hiyo jamani
Dudu shost ndo linakupiga shot[emoji848]Nipo..yes..I am a living testimony hata mimi sijui kwanini bado nipo. Sielewi naomba uelewe tu sielewi
Sasa hata anat.bwaAcha uzungu uzungu wewe...hapo hapo ulipo kimbia
Sema maplayboy huwa wanajua kuto.ba balaa, kuchomoka kazi, unalo hilo[emoji848]
Mke bora kuchukua majukumu ya mume ndani? Tumeona ya mmoja hatujui upande wa pili......kuhudumia familia isiwe kigezo cha kumhurumia pengine kuna mahali akirekebisha watakaa poa sanaSiku zote ushauri utabaki kuwa ushauri... but ukisoma alichoandika mkuu mwenye mada utagundua she real needs help na kuwa hana hasira kwenye maandishi yake.
Huyu dada ni mke bora kabisa (in my perspective) lakini jamaa anamlet down.
Kajionea yake yana nafuu maana watu wanavumilia kupitiliza 😅Mwenyewe nimeshangaa[emoji16][emoji16][emoji849]
Itakuwa kapewa mbususu leo[emoji16][emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo namba mbili hapo...huenda una "look good" mno unakua sexy au sexual mwamba anakua threatened ndio maana anageuka kichaa namna hii?
Unaweza uka tone down kidogo aisee na hiyo "looking good" maana jamaa ana moyo mdogo
Looking good jumlisha na hilo tako,jamaa ana-loose the whole shit....na yule number 8 alishamfuma kwenye simu I guess...
Mwanaume hua anakua kichaa akisha-loose control of his woman sexually to another man whether huyo mwanaume ni real au imaginary
Vaa dira aisee....trust me utaokoa hiyo ndoa...au jipunguze matako yaishe...hahahaaa
Case closed maninnnr[emoji122][emoji122]Ushauri wangu uta-base katika assumption MOJA, kwamba haya YOTE uliyoandika ni ukweli mtupu, huja-exagregate. Kama umeweka na chumvi na pilipili, basi huu ushauri unaweza usikufae sana; Kwa hiyo kama kawaida ya ushauri, uchanganye na za kwako.
1.Huyo mwanaume HAJAWAHI kukupenda kamwe.
2.Huyo mwanaume anakuona ni bonge moja la ZOBA, zumbukuku mzungu wa reli usiyeweza kuishi bila yeye.
3.Kama bado hujapata magonjwa ya ngono na/au UKIMWI, ni suala la muda tu kama ukiendelea kubaki hapo.
4.Tatizo halipo kwake, tatizo lipo KWAKO (yeah, read that again.)
5.Hao watoto ni wa kwako peke yako au ni wa kwako na wa kwake? (Read that between the lines, its a rhetorical question).
6.Divorce is not your priority for now (trust me, your life is more important, and you do not need a divorce to save your life)
7.Huyo comforter, trend very carefully. Wanaume huwa tunaweza ku-smell a woman who is not taken care well and use that just to "tap that ass".
8.Kuna waliosema wanabaki kwenye ndoa kwa ajili ya watoto, wakaishia kufa kwa UKIMWI na kuwaacha hao watoto (I know two of such), think critically on your decisions about that.
9.Hata ujinga una mwisho wake.
Rosiela
.....sasa mume wako ni business man na kama tunavyojua wafanya biashara huwa hawajasoma, hivi viinglish vyako ndivo vinamfanya akuzibue mikofi, ili akushushe confidence [emoji848]Songela wansegamila Dr.
Will screenshot this and read it daily before and after catching a sleep. Thank you
Huu mwandiko mbona kama naujua?[emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dada yangu aliniambia hivi pia ni mtu pekee anaejua hizi changamoto zangu. Lakini nimekataa kuvaa dira kazini. Nilikata nywele baada ya kipigo March lakini anatuma msg ambazo sizijibu kwa sasa..kwamba nimechukiza sana kunyoa bora nivae ma wig. Binafsi sipendi wigs..its either my own natural hair au ninyoe hivi na nimeridhika sana na nilivyonyoa baada ya dada yangu(msiri wangu) kuniambia nimependeza na yeye akakutana na rafiki yake mmoja aliniona ofisini akamwambia ' shem' amenyoa amependeza sanaa...ndio akaja na msg ya kuniambia ninachukiza sana na simvutii. Sijamjibu mpaka leo..anasema simheshimu..ukimya umekuwa amani kwangu maana naona ana play psychology
Very true mkuu,mambo mengi yanatuathiri sana and the issue tena big issue ni psychology akitueleza makuzi ya uyo jamaa utaelewa source ya hivyo tabia, kama sio kalelewa na single parent kalelewa na bibi au amekulia kwa ndugu,usikurupuke kumuacha malezi ndio shida ya mumeo ,pambana kumchomoa huko aliko you will enjoy kuliko hiyo divorceHapa wamekutana pair tofauti kabisa huyu mume ni gangstar love huyu mwingine ana true love . Malezi ya kijana atakuwa kalelewa na baba tu sasa kijana kakopi uhuni wa baba kamwe hawezi kushow love .
Ooooh be very careful na mzee wa "utelezi sio Mr Bean wala nini[emoji849][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna mambo mengi humu uwi[emoji1][emoji1] na assumptions nyingi achilia kunangwa. Thanks Mr.Bean
Nani kakudanganya dada??Acha uzungu uzungu wewe...hapo hapo ulipo kimbia
Sema maplayboy huwa wanajua