Am I wrong if I process divorce?

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Aseee unamshauri utopolooo
 
Mke bora kuchukua majukumu ya mume ndani? Tumeona ya mmoja hatujui upande wa pili......kuhudumia familia isiwe kigezo cha kumhurumia pengine kuna mahali akirekebisha watakaa poa sana
Duuuhh...!! Bongo usen.ge mwingi sana.
Yaani mwanamke anasema anapigwa hadi kulazwa hospitali mara kadhaa, ila bado watu wanasema yeye ndo anatakiwa kujirekebisha kumu-accomodate mume mshenzi anaepiga mke hadi kulazwa.
Bongo nyoso sana.
 
Ninaenda kuanza kubeba all needs and my kid..japo ananitishiaga hawezi kukaa mbali na mwanae hata mahakamani. Mimi siwezi kumuachia mtoto kwa ukisirani wake, haya mambo jamani
Tatizo lako una complicate mambo yaan wewe kumpenda kwako kupitiliza kumekufanya umekuwa kipofu...si ajabu ukute jamaa hawazi na ukisepa hakutafuti

Yaan ni unajipa hekaheka mwenyewe, sijui advocates, sijui my kid[emoji848]
 
Tatizo lako una complicate mambo yaan wewe kumpenda kwako kupitiliza kumekufanya umekuwa kipofu...so ajabu ukute jamaa hawazi na ukisepa hakutafuti

Yaan ni unajipa helaheka mwenyewe, sijui advocates, sijui my kid[emoji848]
Nimekubali kujipa hekaheka darling,ni sawa kwangu
 
Huyo wako kiboko...tafuta kaben ten mkuu, utakubalije kufa na migenyee hivo khaaa[emoji848]
 
Hili ni gumu sana mkuu, 4 months mnaangaliana tu no fvking, no shyte na mnalala bee moja! Yaani huyo jamaa kama hana micheps basi he's wanking dunia isimame.
Michepuko ka mchanga lazima wewe...mingine hadi kaisahau

Usiombe playboy apate hela ni anato..mba na visivyotomb..eka mweeh[emoji848]
 
Just file for a divorce and move on , hell hath no fury like a woman scorned.

Ukiendela kukaa naye kwa vitendo anavyokufanyia iko siku utavuka mstari na kumfanyia very extreme measures, unaweza kukuta unakata "mzizi wa fitna", if you know what I mean !
 
...hadi umelia kwa uchungu?[emoji849][emoji849]....oh yeah[emoji848]
 
Ushauri wa mtu ambaye ndoa anaiota tu, kama atausikiliza atakua mjinga sana.
 
Pole Kwa unayo pitia.

Nikiunganisha dot's kwenye aya zako napata mashaka kidogo.
Ingekuwa busara kama ungetaja umri wa huyo partner wako ili twende sawa.

Katika umri wa miaka 20 unaolewa huku ukiwa na masters kichwani, hii inaakisi aina ya familia unayotoka.
Na unaposema ndoa haijawahi kuwa na amani inazidi kutia shaka maana Kwa umri huo na elim hiyo am sure hukulazimishwa kuolewa, aliyekuoa ni mtu ambae hakika ulikuwa na mapenzi nae labda useme tu uliweka matarajio makubwa kwake kuliko ilivyo tokea.

Anaonekana ni mtu mwenye uchumi mzuri ila upande wa pili wa story inaonekana support yako ya kiuchumi kwake Gari, Nyumba na mahitaji mengine.

Kwa matukio yake (kama ni kweli) ni ishara kuwa hakuhitaji na huenda alisha kutamkia nachelea kusema huenda hata ndoa ww ulilazimisha.

Natamani kujua umri wake, elim na aina ya shuguli zake.

Kila ndoa inachangamoto
Kauli yake ya wenye chura hawana akili ilikulenga wewe.
Baadhi yenu mkiwa na chura, uzuri plus elim ya juu mnajitoa ufaham na kusahau majukum ya ndoa.

Uzuri wa maumbile ni kwaajili ya starehe na sifa za kijinga, ila mental attitude yako ndicho kitu mwanaume anahitaji ili kujenga future, hii inaweza isiwe na uhusiano wowote na hiyo masters yako.

Kaeni mzungumze.
 
Thank you..inachanganya inaumiza inatesa
Yes, imekuchanganya na imekuumiza, lakini isikutese, inabidi useme inatoaha "enough is enough"

Yeye sio wa kwanza wala sio wa mwisho, hamkuzaliwa wawili(pair) kusema zaidi yake hakuna mwanaume mwingine utaweza kupata, kubaliana na uhalisia usithubuti kuupinga..
Yeye nani kwani kwenye maisha yako, kashikilia oxygen yako au!?

Hukuzaliwa upate tabu ya mapenzi, tabu pekee uliahidiwa ni kuzaa kwa uchungu baasi.. Mungu alituumbia mapenzi ni pumziko la nafsi.. Lazima tujaliane, tuheshimiane, tusikilizane na kupendana.. Lengo la mapenzi ni raha na si karaha..

Inuka, kung'uta matako songa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…