Am I wrong if I process divorce?

Wanaume wasio na nguvu za kiume ni manipulative in nature hata uwakee vipi they always feel inferior na other ya kuficha madhaifu Yao ni kukufanyia psychological torture, kuwa wakali na kukuzalisha mwanamke wao, pia hutafta wanawake tofauti tofauti hata ka hakuridhishi ndani aisee.
In short ni difficult situation Wana ficha madhaifu kwa kuwa wakali na wakorofi, mwanaume Malaya na nguvu zake za kiume ni nadra kuwa na Mambo ya hovyo na kutesa mke kihisia loh.
 
Ni kwa sababu ulinihusisha kwenye comment yako.
Nilishaacha lakini naona umening'ang'ania mno kwenye comments zako.

Itakuwa vema ukaendelea na mengine pasi na kunihusisha Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Comment yako mwanzoni Ni ya kitoto Sana, uzi unakuzidi ukubwa huu, we soma tu huku ukipata cha kujifunza, ushauri wako hautekelezeki kiubinadamu ni malaika pekee ndo wanaweza nao ni kwasababu huona ya mbeleni, hayajakukuta acha kabisa,
 
hakika, hatuna sababu ya kujitesa kuna mkuu huku aliniambia tutafute hela zetu tutakuwa huru,,,tunaogopa sana kwa sababu ya security ya maisha yetu tutaishije,,kwani kabla yao tulikuwa hatuishi? cha msingi tupendane bhana
Security kwa mwanamke ni kila kitu, pia kinachotesa watu wengi wanaogopa jamii watachekwa kuachana, matokeo Wana vumilia mateso Hadi wanapata maradhi
 
Mkuu kwanza
Hapa kila
Kupigana hadi mmoja kuzimia na kulazwa several days hospitali kumbe ni kawaida?
Okaay, seems tuna exposure tofauti. Kwangu mimi kwa kweli hakuna ukawaida katika mtu mzima mmoja kumpiga mwenzake hadi kumsababishia kuzimia na kulazwa hospitali for several days. If that is normal as per your exposure, thats ok, its just my lack of exposure.
Akili yangu inapata shida sana kuprocess na kuelewa how can that be normal.
Kwamba kila baada ya miezi kadhaa mtu anatiwa nakoz na mumewe hadi analazwa, nikitoa povu baada ya kusikia hilo, someone is trying to convince me that is normal.
 
Mbona wanasema hakunaga mtu ana "change"

Ni kwamba baada ya sometime vile vitu ulikua huvionagi tatizo wakati upendo upo juu,unaanza kuviona ni tatizo baada ya upendo kuanza kushuka,ila vilikuwepo tangu mwanzo tu

Hahahahaa
Ujue watu wengi during relationship huwa Wana fake hawako real Sasa mkianza kukaa pamoja ndo wajua true color ya partner wako, pia wengi huanza kuishi kimazoea na wenzi wao hapo ndo shida inapoanza, na ikitokea mmoja ameanza kuchepuka amani hupotea kabisa na ka mwanaume ukijua mumeo mhuni hamu naye inaisha ndio maana wanawake wengi huwanyima wanaume tendo Hilo.
 
Yani Mimi huwa naomba Mungu anipe uvumilvu hata robo maana dah, sipendi kero za binadamu mwenzangu aninyime furaha maisha yenyewe mafupi Tena Niko na watoto kabisa naweza kulipa bills wooi nasepa asubuhi aisee, Sasa ka huyu mleta mada huo uvumilvu wake kah
 
umepittiiza aiseee ila through hizi msgs najua ana unafuu kwenye roho yake na maamuzi ni yake
 
Cha ajabu muda huo waume zenu ndio wanatomba vitoto vibichi

I wonder ndio mnakimbilia hizo "other means"?

Nyie wanawake ni hatari aiseee...mnaenda nunua machines kabisa?

Holy shittttt!
Kama nyie other means ni vitoto vibichi unataka sie tubweteke tukilia? Nje tutato.mbwaa.a, mashine tutanunua, ikibidi tutakoboana. Maisha ndo haya haya mkuu
 
Kama nyie other means ni vitoto vibichi unataka sie tubweteke tukilia? Nje tutato.mbwaa.a, mashine tutanunua, ikibidi tutakoboana. Maisha ndo haya haya mkuu
Hujawahi niangusha yaaan. Bravooh
 
Kumbe u are working on assumptions:
Sijawahi kuchapwa na mzazi au mwalimu wakati wote wa malezi yangu na elimu, pia sijawahi kuona baba yangu na mama yangu wanapigana nakoz throughout malezi yangu hadi naondoka nyumbani.
Vitu vingine uliza kwanza before you jump to conclusions.
 
Yani honestly I don't expect someone to give me happiness,my happyness ni internal zaidi kuliko extrnal so why kuvumilia mtu asiyeniheshimu na anaye breach our agreement, na Raha najipa mwenyewe ziko other means nyingi Mimi mtu anayenikera huwa hamu naye Sina kabisa Bora nitafte other means kabisa au nisifamye kabisa Hadi kufa wallah. Na principle Kali Sana Yani loh
 
1.Aisee linda sana afya yako. Siajfurahiwa na ukatili na vipigo. Nimeakia cases zisizo nzuri za hivyo tena kama ana silaha ni hatari sana.
2. Kama ana makando kando atakuletea ugonjwa. Linda sana maisha yako nyakati hizi za magonjwa ya kila namna.
3. Usiwe na heshima hata kidogo kwa mtu ambaye hana heshima kwako na kwa ndugu zako utakuwa victim.
4. Ondoa mtazamo jamii itakufikiriaje ukiachana nae. Maana utakuwa unaugulia maumivu ndani pasipo kuwa na furaha maishani mwako. Jipatie uhuru wako kamili.
 
Eeeeh! Swali la kizushi. Are you single?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…