Am I wrong if I process divorce?

Nazidi kushangaa aina ya maisha baadhi ya wanawake waliyoyachagua.... Ambapo wanateseka Kila inapoiwa Leo. Hivi tuliumbwa kuteseka kiasi hiki hata pale ambapo unaweza kuamua vinginevyo??
Shida yenu tobo mnapenda masharobaro na masharubatwa badala ya great thinkers na macritical shababi kweli ndio mkome sasa
 
Unavumilia kulazwa hospitalini kwa kipigo cha mume kila baada ya miezi kadhaa. Hadi siku ambayo you will be beaten to death.
Ili uvikwe taji la "mke mwema" na misogynistic Tanzanians ukiwa kaburini.
What a shame..!!
Very Sad .... Nimesikitika Sana. Nampa pole sana huyu Dada. Akae chini, aamue ni kitu gani hasa anataka kwenye maisha yake. Jamii anayoigopa.... Sidhani Kama ina cha kumsaidia Sana. Yeye anatakiwa ajisaidie ... Maumivu anayapata yeye... Na sio Jamii anayoifikiria ....
 
True that
 
Usinikatie tamaa..nilitaka kujiridhisha kwa ushauri mbalimbali ndugu
Pole ndugu,cjakukatia tamaa Bali nakusikitikia,hukutakiwa kuwepo hapo wkt unauleta Uzi,ila all in all nakuombea Mungu akuvushe salama kabla hujapata madhara zaidi,
 
Pole ndugu,cjakukatia tamaa Bali nakusikitikia,hukutakiwa kuwepo hapo wkt unauleta Uzi,ila all in all nakuombea Mungu akuvushe salama kabla hujapata madhara zaidi,
Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
 
Yani Mimi sipendi kero jamani za mtu mzima mwenzangu hata hamu sitakuwa nayo heri ya dildo tu, na upweke sipati na tune my mindsets na kufanya a lot of activities za kijamii na mazoezi ndo furaha yangu.
 
Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
Dan,maskini,....kumbe tulikua tunadhani huwezi ondoka,Demi njoo usikie huku,tena huyo kenge asikutishe,apeleke kende zake polisi zikaripoti.hata sisi ni wanaume wa shoka na hatujawahi kutesa KE kiasi hicho,sisi sanasana huwa tunachepuka tu lkn tukirudi ndani tunawaheshimu sana wake.hongera sana Rosiela ,na pole kwa yote,Mungu atakupigania,usirudi nyuma
 
Dah aisee...kafanya jambo jema na Mungu amtangulie.
 
Pole ndugu,cjakukatia tamaa Bali nakusikitikia,hukutakiwa kuwepo hapo wkt unauleta Uzi,ila all in all nakuombea Mungu akuvushe salama kabla hujapata madhara zaidi,

Hakika, alitakiwa awe anaandika huu uzi akiwa tayari ameshaondoka mikononi mwa huyo muuaji.
 
Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??
Hongera kwa maamuzi magumu Rosiela . Mtoto ana umri gani? Usiogope kila kitu kitaenda sawa...atahangaika Hadi mahakamani usiogope...sheria zipo wazi Kama ni mtoto mdogo utaendelea kuwa nae...ila hapo baadae mkitulia usiache kumpa mtoto haki ya kumuona baba yake. Haijalishi baba yupoje huyo ni baba yake tu...
Kikubwa hakikisha mtoto yupo salama.
 
Nimefanikiwa kuondoka na nguo zangu tu na mtoto vingine vyote nimeacha ila ametuma msg anaenda kureport mtoto wake haonekani nyumbani kwake..ameibiwa au??

Vizuri, lakini nakushauri nenda serikali ya mtaa toa taarifa baada ya hapo nenda dawati la jinsia polisi pia toa taarifa. Waambie umeondoka kutoka na mateso na manyanyaso unayopata kutoka kwa mwenzi wako, umeamua kuiponya nafsi yako ili asije akakudhuru zaidi kutokana na anavyokufanyia. Usije chomwa na mkaa gunia saba [emoji35]. Humu ndani tulikushauri utoke ila hatukukupa tips utokeje. Lakini pia akishtaki kuwa kapotelewa na mtoto sio mbaya mwache, huyo mtoto akitafutwa then akakutwa kwako ambaye ni mama ake hakuna polisi atakayechukua hatua. From there utawaambia mateso unayopata kutoka kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…