Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wapi nimesema nataka auwawe???Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!
Unataka huyu mdada auwawe for the sake og marriage.My love ndoa ya duniani tu kila mtu anakufa kivyake/anahukumiwa kivyake na hakuna ndoa baada ya kifo.
Sometimes enough is enough.
Mwanaume habadiliki kwasababu wewe unataka abadilike, Bali hubadilika kwasababu anakupenda na ametaka yeye kubadilika.Kwa sababu anampiga basi aende hata kwao apumzike,
Sitamani achukue talaka.
Huyo mwanaume kuna siku atarudi tu kumlilia huyo dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhusiano wa mbingu na ndoa sijui huwa unatokaga wapi.Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!
Unataka huyu mdada auwawe for the sake og marriage.My love ndoa ya duniani tu kila mtu anakufa kivyake/anahukumiwa kivyake na hakuna ndoa baada ya kifo.
Sometimes enough is enough.
Hujawahi kushuhudia vizuri hizo case.Nimemshauri kwa mujibu wa maandiko na amesema kuwa alifunga ndoa ya kanisani.
Sijaolewa lakini nimeshawahi kuona hizi case hata katika ngazi za familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimesema nataka auwawe???
Ni maoni tu,
Na wewe pia toa ya kwako,,dada atachambua yatakayomfaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mstari Mungu aliuweka kwa lengo zuri tu japo wanyanyasaji wanautumia vibaya.Kiapo kimeandikwa na wanadamu na sio Mungu...
Then, huo mstari wa alichounganisha Mungu naona huwa unatumika vibaya kutaka kuaminisha wanandoa kuwa wavumiliane...
Sikiliza binti najua wewe ni mtu wa dini /imani ya Kristo kindakindaki, Mungu alipomuumba mtu mume na mtu mke aliwabariki na alimfanya mke kuwa msaidizi wa mume awe kichwa...
Mungu hakumpa Adam mwanamke ili huyo Adam afanye kama haya yunayosimuliwa huyu mwanaume anafanya...
Ni kweli, inawezekana hakuwa chaguo sahihi.Mwanaume habadiliki kwasababu wewe unataka abadilike, Bali hubadilika kwasababu anakupenda na ametaka yeye kubadilika.
Anaweza akarudi kumlilia na akaendeleza vilevile Kama mwanzo. Si kila ndoa imepangwa na Mungu, nyingine ni shetani kahusika.
Hizo sio shida mamaKiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.
Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu hajawahi test ndoa inafananaje hawezi akajaribu kuvaa viatu vya mwenzakeSasa mtu anapigwa mpaka kulazwa,mwanaume mlevi,mzinzi unategemea atasalimika?Like seriously?
Si kila ndoa ni worth it.Divorce ipo kwaajili ya cases kama hizi.
Put yourself in her shoes?Ingelikuwa ni wewe ungevumilia?
Weeeeeeee tulia banaaaa.Nimemshauri kwa mujibu wa maandiko na amesema kuwa alifunga ndoa ya kanisani.
Sijaolewa lakini nimeshawahi kuona hizi case hata katika ngazi za familia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa mimi ningefanya kama nilivyomshauri na ndiyo maana nimetoa ushauri huo.Sasa mtu anapigwa mpaka kulazwa,mwanaume mlevi,mzinzi unategemea atasalimika?Like seriously?
Si kila ndoa ni worth it.Divorce ipo kwaajili ya cases kama hizi.
Put yourself in her shoes?Ingelikuwa ni wewe ungevumilia?
Wewe umeolewa?kama umelelewa kwenye ndoa hukuwahi ona wazazi wako wakidundana/au jamii yako na je waliaachana,una roho ya usimbe.Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?
Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.
We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
Ok kila kheri my love.Ningekuwa mimi ningefanya kama nilivyomshauri na ndiyo maana nimetoa ushauri huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mstari Mungu aliuweka kwa lengo zuri tu japo wanyanyasaji wanautumia vibaya.
Mungu aliweka ndoa kwa lengo zuri,na si haya anayoyafanya huyo mwanaume.
Mimi nimemshauri amuombee..
Apumzike nyumbani ili kuepuka kipigo,sijamshauri avunje ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app