Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wapi nimesema nataka auwawe???Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!
Unataka huyu mdada auwawe for the sake og marriage.My love ndoa ya duniani tu kila mtu anakufa kivyake/anahukumiwa kivyake na hakuna ndoa baada ya kifo.
Sometimes enough is enough.
Ni maoni tu,
Na wewe pia toa ya kwako,,dada atachambua yatakayomfaa.
Sent using Jamii Forums mobile app