Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!

Unataka huyu mdada auwawe for the sake og marriage.My love ndoa ya duniani tu kila mtu anakufa kivyake/anahukumiwa kivyake na hakuna ndoa baada ya kifo.

Sometimes enough is enough.
Wapi nimesema nataka auwawe???

Ni maoni tu,
Na wewe pia toa ya kwako,,dada atachambua yatakayomfaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu anampiga basi aende hata kwao apumzike,
Sitamani achukue talaka.

Huyo mwanaume kuna siku atarudi tu kumlilia huyo dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume habadiliki kwasababu wewe unataka abadilike, Bali hubadilika kwasababu anakupenda na ametaka yeye kubadilika.
Anaweza akarudi kumlilia na akaendeleza vilevile Kama mwanzo. Si kila ndoa imepangwa na Mungu, nyingine ni shetani kahusika.
 
Hata kwenye bibilia inasema mtu akitoka nje ya ndoa,akizini,talaka inahusika!

Unataka huyu mdada auwawe for the sake og marriage.My love ndoa ya duniani tu kila mtu anakufa kivyake/anahukumiwa kivyake na hakuna ndoa baada ya kifo.

Sometimes enough is enough.
Uhusiano wa mbingu na ndoa sijui huwa unatokaga wapi.

Kwamba ukimuacha mume/ mke wa aina hii Mungu anakuhukumu,sijui atakuuliza.

Yani Mungu mambo yote aliyonayo kushughulikia ahangaike ndoa ya loser man like huyu jamani?
Aanze kumuuliza dada wa watu, Mumeo yuko wapi?
Kweeeeli?
Na miti yote hii ya kuipa mizizi, wanyama wa kupona bila kwenda hospitali.
Magonjwa ya kuponyesha.
Watu wa kuumba.

Yote haya?
Weeee sio kweli
 
Wapi nimesema nataka auwawe???

Ni maoni tu,
Na wewe pia toa ya kwako,,dada atachambua yatakayomfaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mtu anapigwa mpaka kulazwa,mwanaume mlevi,mzinzi unategemea atasalimika?Like seriously?
Si kila ndoa ni worth it.Divorce ipo kwaajili ya cases kama hizi.

Put yourself in her shoes?Ingelikuwa ni wewe ungevumilia?
 
Kiapo kimeandikwa na wanadamu na sio Mungu...

Then, huo mstari wa alichounganisha Mungu naona huwa unatumika vibaya kutaka kuaminisha wanandoa kuwa wavumiliane...

Sikiliza binti najua wewe ni mtu wa dini /imani ya Kristo kindakindaki, Mungu alipomuumba mtu mume na mtu mke aliwabariki na alimfanya mke kuwa msaidizi wa mume awe kichwa...

Mungu hakumpa Adam mwanamke ili huyo Adam afanye kama haya yunayosimuliwa huyu mwanaume anafanya...
Huo mstari Mungu aliuweka kwa lengo zuri tu japo wanyanyasaji wanautumia vibaya.

Mungu aliweka ndoa kwa lengo zuri,na si haya anayoyafanya huyo mwanaume.

Mimi nimemshauri amuombee..
Apumzike nyumbani ili kuepuka kipigo,sijamshauri avunje ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume habadiliki kwasababu wewe unataka abadilike, Bali hubadilika kwasababu anakupenda na ametaka yeye kubadilika.
Anaweza akarudi kumlilia na akaendeleza vilevile Kama mwanzo. Si kila ndoa imepangwa na Mungu, nyingine ni shetani kahusika.
Ni kweli, inawezekana hakuwa chaguo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiapo cha ndoa kimeandikwa" nitakuwa naye kwenye shida na raha, kwenye dhiki na mateso hadi kifo kitakapotenganisha".
Na alichokiunganisha Mungu , mwanadamu hawezi kukitenganisha.

Ndiyo maana huwa wanatusisitiza vijana kutokosea kuchagua mwenza,ni Bora ukosee kujenga nyumba,utaibomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo sio shida mama
Huko ni kukosa maarifa
Hata angekua kaolewa na Askofu, kupigwa hadi kulazwa, mwanaume hatimizi majukumu yake, bado anamfanyia majambo mabaya!
Aondoke haraka sana akapange atajenga taratibu!
Hakuna uvumilivu kwenye Upumbavu.
 
Nimemshauri kwa mujibu wa maandiko na amesema kuwa alifunga ndoa ya kanisani.

Sijaolewa lakini nimeshawahi kuona hizi case hata katika ngazi za familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeeeee tulia banaaaa.

Subiiiiri yako mama, USITENGANISHWE NA CHOCHOTE.

Wakufanyie kila kitu, uendelee kusugua goti kusubiri KIFO KIKUTENGANISHE NA HUYO UTAKAYEKUWA UMEPATIA KUCHAGUA.
Miss Correct Chooser.

Huyu ,she is questioning her sanity.
Na she needs to.
 
Sasa mtu anapigwa mpaka kulazwa,mwanaume mlevi,mzinzi unategemea atasalimika?Like seriously?
Si kila ndoa ni worth it.Divorce ipo kwaajili ya cases kama hizi.

Put yourself in her shoes?Ingelikuwa ni wewe ungevumilia?
Ningekuwa mimi ningefanya kama nilivyomshauri na ndiyo maana nimetoa ushauri huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?

Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.

We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
Wewe umeolewa?kama umelelewa kwenye ndoa hukuwahi ona wazazi wako wakidundana/au jamii yako na je waliaachana,una roho ya usimbe.
 
Kuna wanaume wamepata bahati kupata mwanamke anaejielewa nakumsikiliza ila ndo hivyo.

Ondoka kwanza hapo,ata ukapange paka arudi kwenye his sense na kuona kama anakuhitaji.
 
Wanawake wanao andika kwa kuchanganya lugha mbili kuunda sentesi huwa wana viburi na jeuri sioni kosa la mme wako kukuadhibu kwa kukuzaba vibao.

Pili usisikilize maneno ya wadada humu ndani wengi wao hawajui nini maana ya ndoa, pengine hata hawajaolewa na asilimia kubwa humu ni Wasimbe hivyo usidanganyike na shauri wanazokupatia utazidi kupotea.

Tatu na mwisho itisha kikao cha familia zote mbili naona wao wako na nafasi nzuri ya kukushauri vyema.

Kila la kheri.
 
Huo mstari Mungu aliuweka kwa lengo zuri tu japo wanyanyasaji wanautumia vibaya.

Mungu aliweka ndoa kwa lengo zuri,na si haya anayoyafanya huyo mwanaume.

Mimi nimemshauri amuombee..
Apumzike nyumbani ili kuepuka kipigo,sijamshauri avunje ndoa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bwanaaaa weeeeh, una hamu tu ya ndoa.
Heb tuache kwanza.
 
Back
Top Bottom