Am I wrong if I process divorce?

Pia matatizo ya ndoa sio sahihi kushare na rafiki wa jinsia tofauti,utatengeneza nafasi ya yeye kuanza kukutegemeza kihisia,mwishowe hisia za mahaba kuelekeana zitakuwa,kwa kujibu swali n kuwa kama amefanya uzinzi una haki ya kutafuta talaka lakin sio lazima,fanya tathmin ya talaka kwa kila mshiriki wa familia yako
 
Sema baadhi ya wanaume 😂😂😂si wote wenye uzezeta kama huo.

 

Hako kadogo kako ka 6 years kataolewa halafu katakuja kufanyiwa kama anavyofanyiwa huyu mleta mada. Natarajia hata ukijua unyamaze kimya na dogo aendelee kuwa submisive
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan unaongea as if wee ndo mwanaume unayezungumziwa hapa.
 
unawapenda wazungu na kuwatolea mifamo have you really been there?
 
Mfano akiwa amewaona kwamba avumilie na yeye mkuu?
Mimi nimekaa kwenye ndoa zaidi ya miaka minne sijawahi piga mke wangu na sitampiga kamwe,kwa wale wanaopigwa bado siwezi kusema ni ticket ya kuacha ndoa.
 
Kutii kunakuja baada ya kupendwa, haya mambo yanaenda sambamba. Mkishaona mke ana elimu mnatumia hicho kigezo kuona hana utii. Muwe mnaoa wanawake ambao hawana elimu Ili msije pata shida baadae.
Upo sahihi kabisa. Utii unakuja baada ya kupendwa. Hivi unadharauliwa, hakuna matunzo, hakuna upendo, unapigwa, unanyanyaswa..... Unakuwa unamtii Nani hasa?? Unatii Nini kwa lipi hasa??😂😇😂
 
Alikuwa anakutest mkuu kama ni wife material, ungekubali anachosema angekupa dunia yote. Wanaume at times tunatakaga Validation tu yaani hata aje nani hapa apindui meza.

Mkuu kumbe wewe demu, nilijua Nice man nikawa najiuliza huyu Nice man mbona he is constantly criticizing ananufaika na nini?
 
Yani tumelelewa hatubanwi tuko free kufanya lolote bana hamna Mambo sijui Mimi ni mwanaume baba nikikohoa unipigie goti hamna hyo kitu, wote tuko sawa kuanzia wanaume na wanawake ni sawa na unahoji tu Mambo. I think culture na malezi yakitofautiana ndo shida sijawahigi kuona eti usivae nguo sijui blah blah.
 
mpaka mzee wa kazi umeona inabidi ajifunze hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah mtu anayeniumiza ni compromise naye Nini zaidi na yeye angeisoma number kwa kweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani acha Kuna wanaume wagonjwa wa akili same to me alikuwa ananipangia Hadi profile hivo hivo, mara suka hivi Yani nifanye anachotaka yeye, hafu vitu vya hovyo na vile hajiamini anipangie, dah na Mimi vile najua hzo ni characters za ma narcissistic personality disorder woi sikuruhusu kabisa, Tena wanapenda kukukashifu ili ujione binadamu asiyefaa wewe ni mwovu kumbe shida ni yeye nikagoma na kujitoa ukiendelea naye waweza kujiua. Mleta mada nimemwelewa wanaume design ya mumuwe ni kichefu chefu na hawajiamini na ni wagonjwa wa akili in the name of kichwa Cha nyuma
 
Hako kadogo kako ka 6 years kataolewa halafu katakuja kufanyiwa kama anavyofanyiwa huyu mleta mada. Natarajia hata ukijua unyamaze kimya na dogo aendelee kuwa submisive
Huyu Watson anaongea tu jinsi anavoonekana ni mtata
 
Yaan unaongea as if wee ndo mwanaume unayezungumziwa hapa.
[emoji23][emoji23]jiwe limemkuta kakangu kumbe naye ana machungu yake loh. Ingawa huyo dada alikuwa anamprnda kuliko huyu wasasa licha ya kuoa hajamsahau
 
unawapenda wazungu na kuwatolea mifamo have you really been there?
Siwapendi wazungu but I worked with them ni honest people na hawana unafiki ka sisi bana. Mimi napenda mtu muwazi ni rahisi ku cope naye sio unafiki wetu watanzania bana, tuna preach vitu ambavyo hatuvitendi
 

[emoji23][emoji23][emoji23] yani, mi hadi kusali nilipangiwa , nisali kwa style anayotaka yeye. Kuna siku alinivuruga hapo sasa ndo nilijumlisha upuuzi wake wote, aisee niliwaka siku ile na nikampiga block moja matata kabisa. Mtu gani akikuuliza umekula nini ukijibu nimekula ugali, utasikia unakulaje ugali [emoji38][emoji38][emoji38] ungekula yoghurt sijui na oats [emoji23]. Yani hadi msosi unaokula nao anauponda [emoji23]. Anataka ule alichokula yeye hata kama huna uwezo nacho [emoji23][emoji23]. Nikikumbuka nacheka sana [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
 
Sema baadhi ya wanaume [emoji23][emoji23][emoji23]si wote wenye uzezeta kama huo.

Sio wote bob, ndio maana kwenye sentensi yangu nimeanza na neno ‘Some men’ nikimaanisha ni baadhi ndo wenye huo ukichaa na sio wanaume wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…