Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?

Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.

We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
Mimi huyo naona kajiloga mwenyewe. Mimi niliolewa ndoa ilidumu miezi minne baada ya kupigwa eti nimemfumania.

Kama anajipenda aanze maisha. Kazi iendelee
 
Wala sina kasiriko hata naona tukubali kutokukubaliana tu! Kila mtu ana namna anapenda ishi maana kama hakuna compromising basi kila mtu atabaki single!

What i believe ni kuwa tofauti ndogo tunaweza zisawazisha nobody is perfect tunakutana katika 90% but hii 10% kwanini tusifanye compromising? Tukitaka kusimama na misimamo yetu then we go separate ways! Thats what i mean Cariha.

Sasa kama wewe utakuwa mtu usiyetaka ku compromise hata kidogo utaishi vipi na watu? Mke wangu is rapping ila ana akili na upendo and so generous.., i find her to be an ideal wife! Sipendi anavyogomba gomba ila it doesnt mean hawezi kuwa mke sababu ana qualities almost zote nazotaka! I find way to live with it cause i love her.

Sasa we ukitaka mtu awe perfect match by 100% utamtoa wapi ndugu yangu?

Its so rare to find mtu unayemtaka by 100% awe mrefu, handsome look, six pack, ana hela, ana life good, hachepuki, anakupa hela, haku control and sum like that! Like Yow you gotta be single for life to meet with 1
Shida sio ku comprise and no one is perfect ila mtu ulinikuta navaa hivi then ndoani hutaki mara uniambie ninyoe dah huo si utoto Tena una force nivae Madera then unatelekeza familia na kunipiga daily eti vile nimevaa nguo flani halloo hapo no comprise wallah mjadala, pia wanaume design hii ni wanyanyasaji vile mke vizuri bana mbona Kuna wanaume waelewa na hawahamgaiki na wake zao na kutesa ka wa huyo mleta mada. Na ujue naomgea na experience wanaume wasiojiamini ni kero na wakorofi
 
Kweli wa mtoa mada ameyumba kwenye kupigana pigana tu! Mwanamke kama hajibu utumbo kipigo kwangu atakisikia redioni tu! 😂Kosa ni kujibu takataka wakati nauliza jambo serious!
 
Ndo hivyo waachane, hakuna kulazimishana.
Mmemuingiza chaka mwenzenu, sijui mna mpango wa kuanzisha chama cha masingo maza, manake mlivompush mpaka kaondoka kwa mumewe, khaaa!!

Kawa freelancer sasa ngoja huko kitaa akawe chakula cha mabaharia
 
Cariha unaniua nguvu kweli na maneno yako yakishujaa

Ila strong minded girls kama wewe hua wanaume tunakwepa

Upo very independent yaani mpaka unatisha...hadi kujitomba unajitomba mwenyewe yaani...

That level of independence is from Mars!

Respect to you
Na kweli wanaume watanzania wanapenda wanawake makondoo bana Hadi nikisomaga maoni ya wanaume humu nashangaa mno aisee, maana mbona tuna mababa na makaka hawana hizi pigo za kishamba bana.
Mie mabebi Zangu huwa ni free mind
 
Ni kweli hivyo ndio ilivyo....

Usipokua submissive your marriage market value strangely becomes really low!

Sasa basi,kama huu ndio ukweli,wadada wanaotaka kuolewa ni lazima wakubaliane na masharti ya hawa potential buyers,otherwise ni issue...

Nina mdogo wangu wa kike yupo kama Cariha,mpaka sasa people havent bought her up yet...

Nina katoto kangu kasichana 6years,hua nakafundisha kua submissive ili kaje kuolewa maana kasipoolewa nitakua na huzuni sana aisee maana nampenda mno.

I cant imagine as mzazi binti yangu aje kukosa soko,I will die with heart attack and I see with these trends,it is 100% likely!
Tatizo la kuwa submissive sana mwishoni they take you for granted. Wanawafanyia mauza uza..ndo wale wanaletewaga hadi micheps ndani.

Ni bora mtu awe na misimamo yake akipata muoaji ajue kabisa anaoa mtu wa aina gani, watapambana hivyo hivyo.
 
Cariha unaniua nguvu kweli na maneno yako yakishujaa

Ila strong minded girls kama wewe hua wanaume tunakwepa

Upo very independent yaani mpaka unatisha...hadi kujitomba unajitomba mwenyewe yaani...

That level of independence is from Mars!

Respect to you
Hafu hamna mwanamke asiyetomb.ka Simba mwenyewe na ukali wake anazaa aisee.
 
Mmemuingiza chaka mwenzenu, sijui mna mpango wa kuanzisha chama cha masingo maza, manake mlivompush mpaka kaondoka kwa mumewe, khaaa!!

Kawa freelancer sasa ngoja huko kitaa akawe chakula cha mabaharia
Hahaa eti freelancer..
 
We ni noma😀😀.
Ila dah ufumanie na kupigwa upigwe
Mimi huyo naona kajiloga mwenyewe. Mimi niliolewa ndoa ilidumu miezi minne baada ya kupigwa eti nimemfumania.

Kama anajipenda aanze maisha. Kazi iendelee
 
Kweli wa mtoa mada ameyumba kwenye kupigana pigana tu! Mwanamke kama hajibu utumbo kipigo kwangu atakisikia redioni tu! [emoji23]Kosa ni kujibu takataka wakati nauliza jambo serious!
Mimi nikivurugwa najibu chochote sipendi kuonewa jamani heri nife nikifight walah, na siwezi ruhusu mtu tumekutana naye utu uzima I anidunde Yani ataniwrza siku Moja NAMI naandaa silaha vita ni vita Mura nikimwachia alama ndo naachana naye aisee
 
Mmemuingiza chaka mwenzenu, sijui mna mpango wa kuanzisha chama cha masingo maza, manake mlivompush mpaka kaondoka kwa mumewe, khaaa!!

Kawa freelancer sasa ngoja huko kitaa akawe chakula cha mabaharia
Unaweza ukawa kwenye ndoa na mabaharia wanakukula vile vile, hainaga formula hiyo
 
Mimi nikivurugwa najibu chochote sipendi kuonewa jamani heri nife nikifight walah, na siwezi ruhusu mtu tumekutana naye utu uzima I anidunde Yani ataniwrza siku Moja NAMI naandaa silaha vita ni vita Mura nikimwachia alama ndo naachana naye aisee
Hahahahah hio usijaribu kwangu maana ukinidhuru kinachofata ni coaster zitakodishwa kukurudisha milimani kwenu na mie kuwa mwanachama wa Keko!
 
Nakuelewa

Ila for starters ili upate buyers ni lazima basi ufeki until you make it then ndio uoneshe misimamo?

As I see naona soko ni tight sana my friend,ukianza na misimamo mikali from the beginning buy up itakua ni ngamia kupita tundu la sindano

As a parent,aisee parents wanakuaga na misongo ya mawazo kabisa buy up isipofanyika,I have seen it first hand!
Nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wazazi wanakuwaga wa moto sana yani..unapewa na mifano juu 'ona flani katulia kwake analea familia yake wewe upo tuu'

Hiyo ni kutwa mara 2 asubuhi na jioni..aisee
 
Ni kweli hivyo ndio ilivyo....

Usipokua submissive your marriage market value strangely becomes really low!

Sasa basi,kama huu ndio ukweli,wadada wanaotaka kuolewa ni lazima wakubaliane na masharti ya hawa potential buyers,otherwise ni issue...

Nina mdogo wangu wa kike yupo kama Cariha,mpaka sasa people havent bought her up yet...

Nina katoto kangu kasichana 6years,hua nakafundisha kua submissive ili kaje kuolewa maana kasipoolewa nitakua na huzuni sana aisee maana nampenda mno.

I cant imagine as mzazi binti yangu aje kukosa soko,I will die with heart attack and I see with these trends,it is 100% likely!
Kila mtu na kipaumbele basi marriage ingekuwa achievement Africa na Tanzania umaskini ungeisha kabisa maana wengine Wana ndoa Hadi nne lakini stress ziko palepale. Pia marriage is not for everyone wewe ukioa na ukafanikiwa na ndoa vile ni achievement well and good people differ in many ways kwa kweli, pia mtu sio bidhaa eti ndoa ni achievement loh
 
Back
Top Bottom