Am I wrong if I process divorce?

Nashauri wanawake titaftee wanaume waliotuzidi kila kitu kuanzia dhambi, maturity level ili tu enjoy si kila mwanaume mvaa suruali kweli ni mwanaume aisee.

Mkuu fanya reset your mind to default... hehehehe haya mawazo unawaza ni ProMax
 
Mkuu snowhite umefanya nicheke kwa comments zako humu, you a are very straight forward na umekuwa mkweli mno.

Inaonekana hata nyumbani utakuwa hivyo kwa Mr wako, ila kumbuka Wanaume tunapenda Wanawake kama wa mtoa Mada 😀😀

By the way, Kama unakunywa, agiza Hennessey kwa Mangi nitalipa kwa M- Pesa.
 
Ukianza kutafuta ushauri na justification kwa watu ju bado hujaumizwa haswaaaa.Wait for the day that you'll wake up pack and leave without consulting the internet for opinion...hapo ndo utajua umechoka hasa .
You're asking for opinions coz you're hoping someone will tell you.."stay he'll change, give him time....deep in you expect him to tell you baby let's start over I'll change. Sis he won't change staying is hard and leaving is not easy choose what will give you a peace of mind and don't ask for opinions.
 
Jmn demi [emoji23][emoji23]
 
Hahahahhahahhahaha bro kwamba nije PM nikuandikie namba ili utume hela ya Hennessy?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mnawapenda hawa ila sisi wanywa Konyagi wenzenu ndo tumebaki.
Tuvumiliane tu!!
 
Daily ninyi ndo huwa kutucrash tu humu ila manyanyaso yenu huwa hamutaoni kabisa aisee. Ila kwa daughters zenu ma ndugu zenu huwa ni malaika. Sisi wengine ni mashetani. Sijawahi elewa kabisa. Munayotusimangia hapa ndo mabinti zenu hayohayo wanayaishi na mnawasupport wasikubali manyanyaso ila sisi wengine tukubali
 
Na mbaya zaidi ukute ana kibamia.
 
Dada Rosiela pole sana, unayopitia sio mepesi. Mungu akuwezeshe kuvuka salama.

Umegusia kwamba ndoa yenu ilikuwa ya kanisani, je? Umewahi kuwashirikisha walezi wenu wa kiroho pamoja na wale walio wasimamia ndoa yenu.

Kabla ya kufanya maamuzi yoyote makubwa tafadhali fuata ushauri hapo juu na kama tayari umewashirikisha waltzing wenu wa kiroho nini ilikuwa hatima yake?
 
Hahahahhahahhahaha bro kwamba nije PM nikuandikie namba ili utume hela ya Hennessy?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mnawapenda hawa ila sisi wanywa Konyagi wenzenu ndo tumebaki.
Tuvumiliane tu!!
Sijui inakuwaje tunaomba samaki na kupewa nyoka, hatuna budi kuvumilia 😜🙈

Hiyo Hennessey ipo, ni juhudi yako tu ufanye ikufikie 😜😜
 
Madamme, i am very weak hasa nimioenda. Lakini kuninyanyasa hisia zangu thats unforgivable. Naweza chelewa kumove on kutokana na upendo ila physically nitaondoka. Siku nikifanikiwa kukutoa moyoni basi hutaamini. Unawezahe kubumilia vipigo? Sababu kubwa inayonifanyaga nichelewe kumove on ni huruma tu kwa nimpendaye nikiamini hakuna atayemuweza kwa madhaifu yake. But siku nikaweza kutokana na tortures zako baasi. Tunaweza kuwa hata friends lkn hisia zinahama milele. Nini kinakufanya ubaki hapo mpaka sasa. Amd uts likely umeolewa na mvulana. Hennessy bosy as usual. Ktk suala la kunipiga hapo ndo patamu, yaani utaipata pata kwanza kutoka kwangu halaf uje familia, ukoo, kuanzia serikali ya kijiji mpk mkoa na nchi. Tungeuana.
 
Sijui inakuwaje tunaomba samaki na kupewa nyoka, hatuna budi kuvumilia 😜🙈

Hiyo Hennessey ipo, ni juhudi yako tu ufanye ikufikie 😜😜
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nyoka oyeèeeeeeeeh.
 
Hii comment imemaliza kila kitu. Tulale
 
Nailed it kipenzi.
You are missed ,though.
 
Naomba nije PM nikupe user ID umtumie ex wangu hii comment yako plz[emoji26][emoji26][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…