Am I wrong if I process divorce?

Niseme tu we mleta mada ndio tatizo maana uwezi fanyiwa hayo yote kwa Karne ya Sasa na bado upo upo tu huelewi ufanye nini!

Et unalipa ada za wa Toto wewe,unalisha familia wewe,bills unalipa wewe,unapigwa wewe.

than mwamba ni mfanyabiashara tena biashara inayotema kipato Cha maana na ataki kukupa support yeyote na bado unataka kuambiwa ni nn Cha kufanya?

Ata mm nikikufanyia hayo yote na bado ukanivumilia sintakua na msaada na wewe yaan wewe kwangu ni mtumwa tu.
 
Hatari,Mwanamke unakila kitu,kwa huyo shetani unasubili nini?
 
Unayopitia ni magumu ingawa maswala ya ndoa hatuwezi kujua nani chanzo,inawezekana na wewe una mapungufu yako ambayo leo hii yamemfikisha huyo mwanaumea hapo alipo.Umesema kuwa you are a God fearing person,kwahiyo huna haja ya kukata tamaa if you truly believe in him.Kumbuka kuwa wakati mwingine unapoamua tu kumgeukia Mungu shetani huanzisha vita kali sana na wewe na lengo likiwa umkosee Mungu,ni kama hiyo hatua uliofikia ya kusema unapata mpk majaribu ya kutembea na watu wanao kushauri,unataka kuanza kusave kidogo kidogo ili ujenge kwa siri.Kwa hiyo kama unaitaka pepo simama imara hapo ulipo,vinginevyo kwa story yako ulivyoamua kuileta humu JF hakuna atakayekushauri uendelee kukaa na huyo mwanaume.Kaa ukijua kuwa ndoa ni mtihani mgumu sana kwa binadamu wote na ndio sakramenti inayashambuliwa na shetani kuliko zote......
 
you are lucky.wengi mpaka wachizike
 
Wewe muongo ......tumhurumie mwamba maaana anayopitia kisa mwanamke huyuu hatari
 
you are lucky.wengi mpaka wachizike
Hapana kuchizika kwa kweli naweza kukupenda kweli ila matendo mabovu yalikuwa kithiri nakupiga kibuti matata, Kuna mwanaume nilimpenda vibaya ila nilinyoosha mikono kabisa, Mimi sifugi donda lisilopona na nimejifunza kutumia akili kwenye mahusiano staki hisia bana ukiwa mwema na nesa na biti ukiwa hovyo na ku treat hvo hvo, Sasa wanawake wengi wanaumizwa na wanavumilia ili kuonyesha kuwa na ndoa loh, life is short why mtu mzima mwenzangu anitese wakati naweza kutafta vitoa nyege tu na life likaendelea [emoji23][emoji23][emoji23] halooo.
 
Mkuu sikubaliani na ukatili anaoufanya huyo jamaa, lakini huyu Dada kuna jambo alifanya likatoa hayo matokeo.

Ndio sababu nimemuuliza hayo matatizo yameanza katika umri gani wa ndoa yao?
 
Nyuzi za aina hii huwa mara nyingi napita kimya ila hii komenti yako imenifanya nicheke kidogo imebidi tu nikomenti
 
👏
 
Uvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
Kabisa wengine wanakuwa ni mateja wa manyanyaso, so atasikiliza upande wa VUMILIA NDO NDOA ZILIVYO, yaan kama kweli hayo manyanyaso unapata mkuu ondoka hapo!
 
Mi alinitishia kunywa sumu,nami ni mhanga wa kutaka kusepa.Najisemesha tu hapa wakati mwenyewe nashindwa kutoka.AAAgrhhh
 
Mi alinitishia kunywa sumu,nami ni mhanga wa kutaka kusepa.Najisemesha tu hapa wakati mwenyewe nashindwa kutoka.AAAgrhhh
Ahahaa ndo huwa mnadanganywa eti siweziishi bila wewe ukiondoka nakunywa sumu, jiongeze sumu hanywi wala. Anapata nguvu ya kukunyanyasa halaf anakuwa kakufanya teja wake wa vipigo, dharau n.k
Anaona ukiondoka atakosa wa kunyanyasa na kumdunda syo kwamba atakosa raha kwamba u muhimu sana kwake. Hapana
 
Hili suala la kwenda trip na washkaji limeanza kunishtua.,,,lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…