harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Niseme tu we mleta mada ndio tatizo maana uwezi fanyiwa hayo yote kwa Karne ya Sasa na bado upo upo tu huelewi ufanye nini!
Et unalipa ada za wa Toto wewe,unalisha familia wewe,bills unalipa wewe,unapigwa wewe.
than mwamba ni mfanyabiashara tena biashara inayotema kipato Cha maana na ataki kukupa support yeyote na bado unataka kuambiwa ni nn Cha kufanya?
Ata mm nikikufanyia hayo yote na bado ukanivumilia sintakua na msaada na wewe yaan wewe kwangu ni mtumwa tu.