Am I wrong if I process divorce?

Am I wrong if I process divorce?

Hahahhaahahahahahhahahahha.
Najuaaaaa.
Mbona mi hutaki kunihamisha ndugu yangu?
Ahahahahhahahahhahaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenyewe nilikuwa nangoja ahamishe mabegi tu nimuhamishie kwenye kisima cha burudani 😅😅😅 amsahau huyo boya
 
Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?

I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.

It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;

1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)

2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'

3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake

4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)

5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia

6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot

7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.

8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)

Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.

Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo

I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.

Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa

But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice
dada uliyeandika hii thread kama hutojali, njoo inbox. nahisi tunafahamina....nahisi ni wewe....yes ni wewe....kwa maelezo zaidi njoo inbox.

mengi tutayajadili nje ya jf.....ni kwa nia njema tu sio kwa ubaya.
 
Nyie kumbe duniani bado kuna wanawake maboyaaa kiasi hikiii mbona hatushtuani...😀😀😀
Oya mwamba wa kimasihara hapa ume-mess up man, Sister hapo anahitaji msaada man, wa kimawazo. Don't attack

Najua you know better.

Peace [emoji3577]

Sent from my SOV34 using JamiiForums mobile app
 
Dah jamaa kumbe hiki ndio kiini cha tatizo sasa! Kule kote ulipita njia ndefu sema sasa kama angekusikiliza ungeweza mpeleka mahali penye tiba akasaidiwe! Watu kama hawa ndio walimpa Dr.Mwaka wake kama zawadi 😅 ya uzembe wao!

Jamaa ubabe Tambo halina kazi aisee, anajua kitandani ishakuwa mtihani sasa bora akuharibu sura hata huko barabarani wasikutamani uwe rough! Akili ya kitoto sana 😅😅😅
To be fair….this is a one sided story! I’d love to hear his side before I conclude anything.
 
Wanawake bana[emoji848][emoji848]

Utafikiri miguu imebandikwa superglu kwenye hiyo nyumba!

Huyo kahaba wa kiume hawezi kuacha hizo tabia nakwambia, tena bado anakudunda!

Sasa subiri kufa, uje uulize humu vizuri " how can I process divorce sijui!

Run!
 
Uvumilivu wake sio wa kawaida, Ila nakwambia huyo dada haondoki hapo... miaka nenda rudi atakuwepo hapo hapo. Tunapoteza muda kumshauri
Miaka nenda rudi ipi?... huyo atauliwa nakwambia either kwa kipigo neither AIDS
 
Kuna wanaume wamepata bahati kupata mwanamke anaejielewa nakumsikiliza ila ndo hivyo.

Ondoka kwanza hapo,ata ukapange paka arudi kwenye his sense na kuona kama anakuhitaji.
Wanaume wa hivi wanajifanyaga wamelogwa[emoji16]
 
Wanawake wanao andika kwa kuchanganya lugha mbili kuunda sentesi huwa wana viburi na jeuri sioni kosa la mme wako kukuadhibu kwa kukuzaba vibao.

Pili usisikilize maneno ya wadada humu ndani wengi wao hawajui nini maana ya ndoa, pengine hata hawajaolewa na asilimia kubwa humu ni Wasimbe hivyo usidanganyike na shauri wanazokupatia utazidi kupotea.

Tatu na mwisho itisha kikao cha familia zote mbili naona wao wako na nafasi nzuri ya kukushauri vyema.

Kila la kheri.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]lugha mbili yes no
 
Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?

Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.

We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.

Wanawake tunaponzwa sana na ku maintain status, yani mateso yote hayo bado una contemplate kuondoka?
 
Back
Top Bottom