cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Wanaume wasio na nguvu za kiume ni manipulative in nature hata uwakee vipi they always feel inferior na other ya kuficha madhaifu Yao ni kukufanyia psychological torture, kuwa wakali na kukuzalisha mwanamke wao, pia hutafta wanawake tofauti tofauti hata ka hakuridhishi ndani aisee.Mbona tunasikia wanaume wasio na nguvu za kiume ndio wanapenda sana,hawana gubu na ni wavumilivu wa vituko vya mwanamke sana
Kwa hii case hapa nadhani huyo kaka ni mtombaji mzuri tu sema wanawake wanapenda kumshusha mwanaume muhuni just for the sake of it
In short ni difficult situation Wana ficha madhaifu kwa kuwa wakali na wakorofi, mwanaume Malaya na nguvu zake za kiume ni nadra kuwa na Mambo ya hovyo na kutesa mke kihisia loh.